Msaada au maelekezo ya namna ya kufufua flash iliyokufa ( haisomi ) storage yake ni 16Gb. Mwenye ujuzi tafadhali
Ngoja niwasubiri wenye ujuzi ktk hili. Sababu source ya tatizo nili record vipindi kwakutumia king'amuzi cha azam, then nikawa na tumia pc kifuta vile nilivyo record vikawa vinagoma kufutika, ikanibidi ni fomart flash ndio ikazingua mazima.
Msaada au maelekezo ya namna ya kufufua flash iliyokufa ( haisomi ) storage yake ni 16Gb. Mwenye ujuzi tafadhali
hata mimi ya kwangu imekufa kupitia hiko kingamuzi cha azam tv
Hahahaaaaaa sawa mkuu...sikumbuki vizuri ata mimi nilishawahi kufanya hivyo ikawa haionekan alaf nikawa babonyezabonyeza ikawa inaniletea hio flash ikae katka format gan nikafankiwa kuirudsha but sikumbuk vzur na naogopa isije ikawa niliotea