Msaada fifa '11 controller configuration | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada fifa '11 controller configuration

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Sep 24, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,308
  Likes Received: 3,449
  Trophy Points: 280
  kwenye hii version ya fifa wame assume kwamba kila mtu anatumia gamepad kwaio settings zao za keybord wameziset into default. any ideas ku assign keys zako mwenyewe?
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  unaweza kuchange mkuu..kama unatumia CD/DVD launch game kutokea hapo(kama umeinstall na unacheza bila kutumia CD basi fungua mahali ulipoinstall game tafuta folder limeandikwa support then ndani yake kuna file imeandikwa configuration (ni application file) ) ukifungua hii file itafunguka window imeandikwa Play, Game settings na exit..sasa hapo fungua game settings utaona sehemu ya keyboard configuration...tatizo hapa ni kwamba itabidi ujue hiyo settings kwenye pad inafanya kazi gani ndo u set hapa maana hawakuandika kama kwenye game zingine kama shoot, tackle sijui ila wametumia mapping za game pad..mfano unakuta X ya kwenye pad unaweza ku set button kwenye keboard ila sasa inakubidi ujue hiyo X kwenye pad inafanya kazi gani...! its a bit complicated but thats the only way!!!
   
Loading...