Msaada field za TICTS..

Mponjori

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
2,205
549
Habari wanaJF wenzangu.nimepata trainee ktk kampuni ya TICTS,natakiwa kuripoti jumatatu ijayo,nimemaliza chuo na mina Advanced Diploma in IT..naomba msaada kwa waliowahi fanya field au traineehapo je,wana support yoyote ile?je wana kawaida ya kuajiri watu walioko field?..
 
Jikaze ukafanye field jenga connection.. Huwa ni bora kumconsider mtu aliyeonekana field than anayeleta mavyeti yake na hawamjui...
Jamaa waalipa vzr coz nna ndugu yangu form4 leaver lakini anagusa si chini ya jiwe7 na anaendesha folk lift hapo bado overtym, matibabu ya family bure pluss other fringe benefits...
KAPIGANIE KAKA UKILA SHAVU PALE NAWEWE KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA KUTAKUUMA direct coz hutakosa hata ndinga ya kupigia movts
 
poa,nimekupata
 
Back
Top Bottom