Rodcones
JF-Expert Member
- Oct 16, 2007
- 402
- 52
Mkuu kusoma nje kuna faida yake
Achana na kubeba boksi
labda nitoe mfanokama watu wanaosoma IT
NA MAMBO MENGINE NI RAHISI SAANA PRACTICAL kuliko kwetu huko ambako unasoma IT hata PC ya mwalimu kufundishia hakuna
Japo kuwakuna disadvantage zake.
lakini faida ni nyingi kuliko hasara
Angalizo kama wataka kumleta Binti yako asome undergraduate nakushauri Fikilia mara mbili mbili
ila kama anakuja Kupiga masterz basi faster mwache aje apige msuli