Ku export chakula uk,unahitajika kwanza huo unga upitishwe na bodi yao ya chakula,wajue unatengenezea kiwanda gani,kama ni mashine za kusaga za barabarani utapata tabuAm taking precautions mkuu
Kabombe ehh upo juu, nashukuru kamandaKu export chakula uk,unahitajika kwanza huo unga upitishwe na bodi yao ya chakula,wajue unatengenezea kiwanda gani,kama ni mashine za kusaga za barabarani utapata tabu
Vinginevyo jaribu kuingiza kwa kiasi kidogo kidogo kama sample
My bro told me the same thing, sijaju ilikuwaje, na according to my bro ananiambia MO DEWJ nae analeta unga huko UK still demand is high na bado hautoshi, ninachokiona hapa Tanzania watu wengi hawana capital to finance huu mradi ila faida ni kubwa, nipo hapa nakusanya maoni ya wadau soon nitaanza mkuuKuna jamaa alileta unga wa bakhresa UK Yaani ilikuwa container tu waliushambulia ukaisha haraka sana. Sasa sijui alizuiwa tena
Kila la kheri katika mipango yako ngoja ntaongea na jamaa nimuulize kama ataweza kukupa njia all the bestMy bro told me the same thing, sijaju ilikuwaje, na according to my bro ananiambia MO DEWJ nae analeta unga huko UK still demand is high na bado hautoshi, ninachokiona hapa Tanzania watu wengi hawana capital to finance huu mradi ila faida ni kubwa, nipo hapa nakusanya maoni ya wadau soon nitaanza mkuu
Kiongozi ile ya unga wa sembe ulifanikiwa?Nasikia na mtama pia una demand kubwa sana UK, safari ya kuifanya hii business naianza muda sio mrefu, njtarudi kwaajili ya ushauri zaidi
Vip kuhusu swala zima la documents limekaa vpNaifanya sahivi last time nilituma tu kwa watu wachache walioko kule kuona wapi pakuanzia ilihitaji hela kidogo kuweka kila kitu kuwa sawa, this time naifanya tena,
Naifanya sahivi last time nilituma tu kwa watu wachache walioko kule kuona wapi pakuanzia ilihitaji hela kidogo kuweka kila kitu kuwa sawa, this time naifanya tena,
Last time nilikua natuma kwa ndugu na baadhi yao wateja niliowajua pitia ndugu hao hao, sema sikuweka sana jitihada kwa kuwa na kuhitajika kwa pesa kidogo, ila this time nataka nitafute na leseni kabisa, tho kuna vibali vingi vinahitajika,That's great kiongozi umeshakamilisha vibali na process nyingine au hujaanza chochote, au labda umefikia wapi may be...?
Last time nilikua natuma kwa ndugu na baadhi yao wateja niliowajua pitia ndugu hao hao, sema sikuweka sana jitihada kwa kuwa na kuhitajika kwa pesa kidogo, ila this time nataka nitafute na leseni kabisa, tho kuna vibali vingi vinahitajika,
Ni ushauri mzuri sema hapo sasa utakua kama wakala wa bakhresa, mnyororo wa thamani utakua hujaongeza kitu kwako au kipato kitakua cha kawaida sana, lakini ukifanya mwenyewe ukatafuta mahindi shambani na hatua nyingine basi utatengeneza pesa zaidi, Modewj anapeleka unga huko lakini hautoshi,Safi kiongozi inakuaje ukinunua let's say kwa Bakhresa magunia ambayo tayari kila kitu kazi yako iwe ku-export tu inakuaje...?
Kuliko kutafuta mahindi, uyatayarishe, uanze ku-pack, bado vibali vya TBS na TFDA kwa sababu hawakutambui, ila kwa Bakhresa inakuwa imeshapitia hizo process zote, hili unalionaje kiongozi wangu...?
Tuna-share mawazo mkuu. Thanks.
Mi mwenyewe napendaga biashara za kuexportHelow guys, habari za kwenu wadau
Rejea heading above, mimi binafsi nina PLANS za kusafirisha unga wa sembe nje ya nchi kupeleka UK, kwa kweli mimi ni mmoja kati ya wale wanaopata hamasa ya kufanya INTERNATIONAL TRADE na naamini ipo siku ndoto yangu itatimia,
Sasa rejea kwenye uzi ni hivi wadau mimi nimetamani kuanza kufanya hii biashara hasa baada kaka yangu ambaye yupo Middlesbrough UK kuniambia kuna demand kubwa ya unga wa sembe kule, na kaniambia inspite MO_DEWJI kuwa supplier wa unga kule bado demand is escalating, nikapata shauku kubwa,
Tatizo sijawahi fanya usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi so experience kwangu bado, so nipo hapa kupata uzoefu uelewa please anisaidie na itawasaidia na wengine, mwenye kuwa na uzoefu hususani sheria za hapa nchini,
Ninaomba wadau ambao waliowahai kufanya hata wale ambao hawajawahi ila wana maoni mazuri kusafirisha bidhaa sio lazima bidha ya unga yoyote naomba msaada wanisaidie uzoefu, taratibu za nchi(sheria) , vibali nchini vinatolewaje, na je taasisi ya TBS wana vigezo gani, na ni vitu gani serikali wanaweka kama vikwazo na je vikwazo ni vya aina gani, mwenye makisio ya gharama kwa gunia moja wanatoza kiasi gani mamlaka na je nafanyaje to meet international standards(ISO), na je nahitaji kuwa na kampuni iliyosajiriwa?
Ahsanteni nawakilisha..
Ni ushauri mzuri sema hapo sasa utakua kama wakala wa bakhresa, mnyororo wa thamani utakua hujaongeza kitu kwako au kipato kitakua cha kawaida sana, lakini ukifanya mwenyewe ukatafuta mahindi shambani na hatua nyingine basi utatengeneza pesa zaidi, Modewj anapeleka unga huko lakini hautoshi,