Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 210
Mkuu,
Lakini mleta mada kasema kuna kaka yake huko ndo aliyemwambia kuwa demand ni kubwa mahali alipo.Mimi sidhani kama kuna market ya unga wa sembe England,wazungu hawatumii hii kitu- South Africa wanapeleka sembe uk,trade name Iwisa,Azam nae anapeleka lakini naona ni quantity ndogo sana
Mkuu,
Kuna mambo mengi ya kuendelea kujiuliza na kufanya utafiti wa kutosha.
Mfano: Kuna kampuni/jamaa wanakuja nchini kutokea nje ya nchi na sanasana ni Wahindi, wanaweka kambi humu nchini na hasa mashambani huko, wananunua mazao kama Ufuta, Choroko, Mbaazi, Dengu na mazao mengine ya jamii ya Mikundekunde, wanapopeleka huwa hatupajui na hakuna anayejishughulisha kujua huwa wanayapeleka wapi, kwa kifupi hapa namaanisha MASOKO.
Kama bidhaa hizi zipo hapa nchini kwetu kwanini sisi tunaishia tu kuwauzia hawa wanaotulangua, ina maana sisi hatuwezi kupeleka huko wanapopeleka wao.
Hebu tufunguke vijana. Na kwa sasa nina imani na serikali tulonayo.

mwambie aende supermarket za ASDA,umejaa tele,unless hiyo sehemu hamna waafrikaLakini mleta mada kasema kuna kaka yake huko ndo aliyemwambia kuwa demand ni kubwa mahali alipo.
Funguka Kamanda, kama una details ndo tunazihitaji hapa. Kwani sisi hatuwezi kukomaa kuzifukuzia hizo fursa huko UK!!?Mkuu s
Soko kubwa la hao wahindi wanaonunua nafaka sana sana ni Uk Mkuu.
Jackline unatuchanganya sasa, mwanzoni umesema Wazungu hawatumii hiyo kitu na ukadai hata Azam na kutoka South Africa wanapeleka kwa kiwango kidogo sana, sasa hivi unasema Sembe imejaa supermarkets, so which is which maana kama Sembe ni nyingi kwenye hizo supermarkets unazosema maana yake uhitaji ni mkubwa. It's just a simple science.mwambie aende supermarket za ASDA,umejaa tele,unless hiyo sehemu hamna waafrika
Sina details nyingi. Ila kama unaweza kupata watu wanaofanyakazi kwenye kampuni za ukaguzi wa mizigo bandarini, hawa watakuwa na info za kutosha. Sisi kufanya biashara hii inawezekana kabisa ukishapata soko na mtaji.Funguka Kamanda, kama una details ndo tunazihitaji hapa. Kwani sisi hatuwezi kukomaa kuzifukuzia hizo fursa huko UK!!?
Tiririka hapa mkuu.
Kwa kifupi,supermarket zote za ASDA,ambazo ziko kwenye maeneo yenye Waafrika na Wahindi zina uza Asda branded maize flour exception ni Asda ambazo ziko maeneo ya wazawa.mimi ni msukuma,kwangu sembe ni petrol,kila nikiingia UK hiyo ni top priorityJackline unatuchanganya sasa, mwanzoni umesema Wazungu hawatumii hiyo kitu na ukadai hata Azam na kutoka South Africa wanapeleka kwa kiwango kidogo sana, sasa hivi unasema Sembe imejaa supermarkets, so which is which maana kama Sembe ni nyingi kwenye hizo supermarkets unazosema maana yake uhitaji ni mkubwa. It's just a simple science.
Bavaria nikushukuru tu kwa kweli kwa miongozo, hapo nimekusoma, vipi juu ya mode of transport that reliabe, safet from pirates , easy to access and yenye bima kwa kusafirisha mzigo mkubwa.....
You will need a lot of money that's it
Mawazo na malengo mazuri. Zingatia yafuatayo kabla ya kufikiria mtaji.Helow guys, habari za kwenu wadau
Rejea heading above, mimi binafsi nina PLANS za kusafirisha unga wa sembe nje ya nchi kupeleka UK, kwa kweli mimi ni mmoja kati ya wale wanaopata hamasa ya kufanya INTERNATIONAL TRADE na naamini ipo siku ndoto yangu itatimia,
Sasa rejea kwenye uzi ni hivi wadau mimi nimetamani kuanza kufanya hii biashara hasa baada kaka yangu ambaye yupo Middlesbrough UK kuniambia kuna demand kubwa ya unga wa sembe kule, na kaniambia inspite MO_DEWJI kuwa supplier wa unga kule bado demand is escalating, nikapata shauku kubwa,
Tatizo sijawahi fanya usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi so experience kwangu bado, so nipo hapa kupata uzoefu uelewa please anisaidie na itawasaidia na wengine, mwenye kuwa na uzoefu hususani sheria za hapa nchini,
Ninaomba wadau ambao waliowahai kufanya hata wale ambao hawajawahi ila wana maoni mazuri kusafirisha bidhaa sio lazima bidha ya unga yoyote naomba msaada wanisaidie uzoefu, taratibu za nchi(sheria) , vibali nchini vinatolewaje, na je taasisi ya TBS wana vigezo gani, na ni vitu gani serikali wanaweka kama vikwazo na je vikwazo ni vya aina gani, mwenye makisio ya gharama kwa gunia moja wanatoza kiasi gani mamlaka na je nafanyaje to meet international standards(ISO), na je nahitaji kuwa na kampuni iliyosajiriwa?
Ahsanteni nawakilisha..
Kweli mkuu nakubaliana na weweMkuu,
Kuna mambo mengi ya kuendelea kujiuliza na kufanya utafiti wa kutosha.
Mfano: Kuna kampuni/jamaa wanakuja nchini kutokea nje ya nchi na sanasana ni Wahindi, wanaweka kambi humu nchini na hasa mashambani huko, wananunua mazao kama Ufuta, Choroko, Mbaazi, Dengu na mazao mengine ya jamii ya Mikundekunde, wanapopeleka huwa hatupajui na hakuna anayejishughulisha kujua huwa wanayapeleka wapi, kwa kifupi hapa namaanisha MASOKO.
Kama bidhaa hizi zipo hapa nchini kwetu kwanini sisi tunaishia tu kuwauzia hawa wanaotulangua, ina maana sisi hatuwezi kupeleka huko wanapopeleka wao.
Hebu tufunguke vijana. Na kwa sasa nina imani na serikali tulonayo.
Helow guys, habari za kwenu wadau
Rejea heading above, mimi binafsi nina PLANS za kusafirisha unga wa sembe nje ya nchi kupeleka UK, kwa kweli mimi ni mmoja kati ya wale wanaopata hamasa ya kufanya INTERNATIONAL TRADE na naamini ipo siku ndoto yangu itatimia,
Sasa rejea kwenye uzi ni hivi wadau mimi nimetamani kuanza kufanya hii biashara hasa baada kaka yangu ambaye yupo Middlesbrough UK kuniambia kuna demand kubwa ya unga wa sembe kule, na kaniambia inspite MO_DEWJI kuwa supplier wa unga kule bado demand is escalating, nikapata shauku kubwa,
Tatizo sijawahi fanya usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi so experience kwangu bado, so nipo hapa kupata uzoefu uelewa please anisaidie na itawasaidia na wengine, mwenye kuwa na uzoefu hususani sheria za hapa nchini,
Ninaomba wadau ambao waliowahai kufanya hata wale ambao hawajawahi ila wana maoni mazuri kusafirisha bidhaa sio lazima bidha ya unga yoyote naomba msaada wanisaidie uzoefu, taratibu za nchi(sheria) , vibali nchini vinatolewaje, na je taasisi ya TBS wana vigezo gani, na ni vitu gani serikali wanaweka kama vikwazo na je vikwazo ni vya aina gani, mwenye makisio ya gharama kwa gunia moja wanatoza kiasi gani mamlaka na je nafanyaje to meet international standards(ISO), na je nahitaji kuwa na kampuni iliyosajiriwa?
Ahsanteni nawakilisha..
Okey kwanza ninawashukuru wachangiaji wote waliopita kwenye uzi na kutoa mawazo yao nilikuwa offline kidogo, ngoja nianze kujibu, nitaanziana mkuu hapa...Mkuu Toxic9,
Kampuni yetu ya Premier Freights inaweza kushughulikia swala lako ila unayotakiwa kujua kwamba unga wa Azam mara nyingi hawana guarantee ya mwaka mmoja na kama wakikwambia wanayo basi waambie wakupe kwa maandishi wasikwambie kwa mdomo ili chochote kitakachotokea basi unaweza kwenda kudai compensation, kama utasafirisha kwa meli basi itachukua takriban kama mwezi kuuweka store na kutafuta soko mwezi mwengine mmoja unless bro wako tayari ana kampuni ameshaongea nao tayari ila kama utaamua kuusafirisha kwa ndege basi inakua ni kama wiki ama wiki mbili baada ya booking.
Na kama utakua tayari basi inakubidi utafuta agent wa meli ama wa ndege afanye booking huko halafu sisi hapa tunafanya clearing na delivery kama ukipenda. lakini please make sure kila detail iko sawa (correct) ili kuondosha confusion katika clearing
kuna paper works za kusafirisha nafaka hizo Azam export wataku guide namna ya kusafirisha na packaging na pamoja na meli huwa wanalishuhulika wao then wanakupa hesabu yako tu.
Biashara gani hiyo mtu atafanya bila feasibility study ili kupata kadirio la mtaji, cost of operations etc, Watanzania kwa kurudishana nyuma, naamini ni mawazo yako unataka yakae kwenye kichwa changu pia kitu ambacho ni never, shule pia zitusaidie sio kwenda kujaza darasa bureYou will need a lot of money that's it