Mkuu demand ni kubwa sana yani hatari, napata wasiwasi kama serikali itafungua milango, maana nakumbuka kuna kipindi serikali ilipiga marufuku kusafirisha mazao nje ya nchi.... Sasa sijajuwa sahivi utaratibu ukojeFanya hivyo maana nasikia huo UK wanakula unga wa kutoka NIGERIA
Mkuu kama una uzoefu kidogo tufungue macho..... Hii dhana ya serikali kunogesha kauli mbiu za kilimo mara uti wa mgongo mara kilimo kwanza halafu hakuna utekelezaji sijuwi kwanini serikali wana fail kumsaidia mkulima, wameua vyama vya ushirika, wameua masoko ya wakulima, wakulima ndiyo wanaoilisha nchi lakini bado wakulima ni masikini sana, ni wakati sasa serikali ifungue njiaFanya hivyo maana nasikia huo UK wanakula unga wa kutoka NIGERIA
Mkuu ahsante sana nimepata mwanga pakuanzia kufanya tafiti....... Kweli jf ni mahala pazuri pakujifunzia mambo, yah unacho sema wakitoka kwenye EU itafungua milango ya fursa pia leo niliona wapo kwenye final push for votes in EU referendum... Mkuu endele kujazilia nyama vipi hapa nchini sheria na kanuni zipojeSina uzoefu wa biashara hiyo ila kwa kuanzia, tembelea hizi link:
- Tovuti Kuu ya Serikali:
- Imports | Food Standards Agency
Na wasipoamua kujiondoa EU kesho, hii link inaweza kuwa muhimu pia
http://ec.europa.eu/food/safety/docs/ia_ic_guidance_import-requirements.pdf
Upepo wa UK kubaki au kujiondoa EU utabadilisha taratibu za biashara pia. Jaribu kufuatilia na ubalozi wa UK nchini. Vile vile ukiwasiliana na ubalozi wa Tanzania uliopo London, hizi ni taarifa ambazo wanapaswa kukupa pia.
Kila la kheri
Mkuu ahsante sana nimepata mwanga pakuanzia kufanya tafiti....... Kweli jf ni mahala pazuri pakujifunzia mambo, yah unacho sema wakitoka kwenye EU itafungua milango ya fursa pia leo niliona wapo kwenye final push for votes in EU referendum... Mkuu endele kujazilia nyama vipi hapa nchini sheria na kanuni zipojeSina uzoefu wa biashara hiyo ila kwa kuanzia, tembelea hizi link:
- Tovuti Kuu ya Serikali:
- Imports | Food Standards Agency
Na wasipoamua kujiondoa EU kesho, hii link inaweza kuwa muhimu pia
http://ec.europa.eu/food/safety/docs/ia_ic_guidance_import-requirements.pdf
Upepo wa UK kubaki au kujiondoa EU utabadilisha taratibu za biashara pia. Jaribu kufuatilia na ubalozi wa UK nchini. Vile vile ukiwasiliana na ubalozi wa Tanzania uliopo London, hizi ni taarifa ambazo wanapaswa kukupa pia.
Kila la kheri
Wazo zuri pia mkuu, nilimcheki ndugu yangu ambaye yupo UK nilimuambia pia achunguze mzigo MO DEWJ anao peleka kule UK upoje na una quality gani ns je package yake... Ahsante kwa wazo bado nafanya tafiti pia, naamini hata taasisi ya TBS nchini wapo kwenye bodi za standard za kimataifa eg ISO wanaweza pia wakanipa mwanga vigezo wanavyotumia mataifa kwa product kuifikisha nje ya nchi otherwise thanks mkuuMkuu ishu iko kwenye ku contro quality, make hapo ni lazima na wazungu wapime kujiridhisha na ubora wa huo unga, labda kama ungeweza peleleza MO yeye anapata wapi hayo mahindi ya kukoboa unga, na nina uhakika atakuwa na source specail ya kupata mahindi ya kukoboa unga wa kupeleka UK, haya mahindi mengine yanayo tumia kiwango kikubwa cha mbolea yanakuwa hayafai, so inabidi kama ni souce utarget maeneo wanayo lima mahidni kwa wingi bola kutumia mbolea za viwandani,
Wazungu kwenye maswala ya ubora wa vyakula wako makini vibaya mno, ndo sehemu ambyo wako makini sana, na huwa wanapima kabisa kuangalia kiwango cha chemicali kama kinaruhusu au la.
Wazo zuri pia mkuu, nilimcheki ndugu yangu ambaye yupo UK nilimuambia pia achunguze mzigo MO DEWJ anao peleka kule UK upoje na una quality gani ns je package yake... Ahsante kwa wazo bado nafanya tafiti pia, naamini hata taasisi ya TBS nchini wapo kwenye bodi za standard za kimataifa eg ISO wanaweza pia wakanipa mwanga vigezo wanavyotumia mataifa kwa product kuifikisha nje ya nchi otherwise thanks mkuu
Bavaria nikushukuru tu kwa kweli kwa miongozo, hapo nimekusoma, vipi juu ya mode of transport that reliabe, safet from pirates , easy to access and yenye bima kwa kusafirisha mzigo mkubwa.....1. Unatakiwa uwe umeshaanza kuzalisha unga na kuuza hapa Tanzania, ili ujue aina za mahindi na ubora wa bidhaa zako.
2. Hakikisha una makaratasi yote ya TFDA, TBS na mamlaka nyingine ambazo zinahusika na vyakula.
3. Ukitaka International Certificate nenda TBS ndio mawakala wao hapa Tanzania. Wanajua vigezo wanavyoangalia ili kukupa wewe ile certification. Unaweza ukaomba, wakaja kukukagua na wasikupe kwasababu hujafika vigezo vyao.
3. Hakikisha unajua standard za vyakula vinavyotakiwa kupelekwa UK au EU. Wao wana guideline ya kukuwezesha kujua unatakiwa upeleke chakula chako kwa standard zipi.
Kumbuka; Wazungu wapo very strict kwenye hili, ukisahau certificate yeyote kwenye mzigo wako wanauchoma moto. Hawana utani. Unaweza kuingia hasara ya mamilioni kwa uzembe wa kitu kidogo. Swala kama hili limeshawahi kunitokea nikapata hasara ambayo sitakaa niisahau.
4. Hakikisha una maintain quantity inayotakiwa huko. Kama ni tani 10 ni hiyo hiyo na iwe na uniform standards.
Mzeya Bagamoyo nimekusoma mkuu nimeona hiyo kwenye vyombo vya habari kuwa demand is huge from neighnour hata south Africa sasa tunakwama wapi tusiongeze vipato pitia hizi fursa au ni kwakuwa wengi ni kama mimi kutokujuwa taratibu na kanuni za ku-export outside the country au ni serikali, naomba kujuwa vikwazo ni nini nijifunzie hapo pia...Pia usisahau Kenya hali ni mbaya mwezi huu June 2016 mpaka August 2016, wala ''ugali'' Kenya wanaweza kukosa unga wa mahindi ndani ya siku kumi changamkia fursa ya biashara hii nchi jirani. Chama cha Wakoboaji wa Mahindi Kenya wanaelezea ni viwango gani wanahitaji ili kuweza kupata kuuza mahindi/unga kipindi hiki cha njaa Kenya : linki: Maize shortage in Kenya
Sawa sawa hilo hata mimi nilishalipingia plan mkuu, TBS naamini wapo kwenye bodi za viwango vya mataifa kama wakilishi toka hapa nchini na kuna miongozo wanapewa kwenye vikao vya mwaka wanavyo kaa ili kuwaelimisha wananchi bidhaa na viwango stahiki vya kimataifa nimekusoma...Kimsingi labda hiki kipindi cha Magufuli kunaweza kua urahisi kidogo.Nilipata kusikia habar ya bwana mmoja alikua na lengo kama lako alihangaika sana kupata TBS na mwisho alichemka.
UK ni mbali na inategemea na maslahi pia lakini Somalia na South Sudani pia soko ni kubwa halielezeki.Haya mahindi unayosikia yanaenda Kenya da most yanasagwa pale kwaajili yakupeleka unga Somalia na S.Sudani.
Kimsingi kwa jinsi nijuavyo kigezo kikubwa chakusafirisha finished goods nje ya nchi ni TBS mkuu.
Nenda TBS hapo utapata maelezo yote.
Mkuu, hii ni discouraging contribution.You will need a lot of money that's it