Msaada:error message kwenye desktop yangu

Msaada:error message kwenye desktop yangu

numis

Senior Member
Joined
May 25, 2017
Posts
176
Reaction score
188
Habari zenu wanajamvi naomba mnisaidie kutatua hili tatizo nifanyeje kuliondoa inajitokeza sana maandishi ya error message mpaka inanikera tafadhali naomba msaada wenu kwa mnaoelewa zaidi
20180411_210815.jpg
 
Install online pack solution au nenda Device manager then check kwenye Driver ufanye update
 
Back
Top Bottom