Msaada: Error kwenye BlackBerry Z10

Msaada: Error kwenye BlackBerry Z10

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari wadau wa Tech & Gadgets.

Nikijaribu kufungua BlackBerry World inatokea hii error sms "An error has occurred and BlackBerry World must close. Try waiting a few minutes and then reopen BlackBerry World".

Nifanyeje ?
 
Habari wadau wa Tech & Gadgets Nikijaribu kufungua BlackBerry World inatokea hii error sms "An error has occurred and BlackBerry World must close. Try waiting a few minutes and then reopen BlackBerry World"Nifanyeje???

Habari dada,Nazani ni shida ya bb 10.2 os, maana hata mimi inanitokea sana kwenye Z30. kuingia blackberry word hadi urudie rudie ku log in mara kibao.Nilichek kwenye crackberry site,

Nikaona mtu wa blackberry anajibu kwamba ili tatizo linatokana na mabadiliko wanayopitia katika ku update os yao maana by february this year wanaibadilisha os yote. na kuwa bb 10.3.1 ambayo ndio imeanza kutumika na simu zao mpya zilizotoka kuanzia december like blackberry classic.

Wameomba tuwe wavumilivu kidogo maana kuanzia february 1 simu zote zikiwa updated zitakuwa kwenye new os ambayo ime solve matatizo yote.
 
Habari wadau wa Tech & Gadgets.

Nikijaribu kufungua BlackBerry World inatokea hii error sms "An error has occurred and BlackBerry World must close. Try waiting a few minutes and then reopen BlackBerry World".

Nifanyeje ?

unapata error sababu unatumia mobile network chakufanya connect simu yako na wifi kisha open app world kisha fanya update za app world ukimaliza installation tumia mobile network kama kawaida i think app world itafunguka
 
Ila bbz10 ni bonge la simu,naipenda sana kwenye mambo ya intarnet
 
unapata error sababu unatumia mobile network chakufanya connect simu yako na wifi kisha open app world kisha fanya update za app world ukimaliza installation tumia mobile network kama kawaida i think app world itafunguka

Possibly mkuu... Ngoja nitajaribu hiyo option kisha nitaleta mrejesho!
 
mie natumia 10.2.1.2977, iko poa sana haijawahi ni sumbua hata siku moja

Mie ya kwangu ni 10.2.1.3062 ila ndio hivyo imegoma kufungua Wozap... Ngoja niende somewhere nitapata Wi-fi nijaribu kufungua kama mdau alivyotoa maelekezo hapo juu...
 
unapata error sababu unatumia mobile network chakufanya connect simu yako na wifi kisha open app world kisha fanya update za app world ukimaliza installation tumia mobile network kama kawaida i think app world itafunguka

Shukrani mkuu.... imefanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom