Msaada Engineers kuhusu Calibration ya machines

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,368
Reaction score
12,965
Wadau vipi?

Nimepata Kibarua hapa sehemu moja huku Mwanza.

Sasa kuna machine zinahitaji calibration.

1. Temperature gauge kwenye Mixing centrifuge tank(Tank Ina heater)

images%20(2).jpg

2. Pressure gauge kwenye cartridge filter tanks

IMG_20210817_111248.jpg

Naombeni kujua
1. Jinsi ya kucalibrate hizo geji
2. Frequency/mara ngapi inatakiwa kufanyiwa calibration.

Screenshot_20210817-111041.jpg
 
Calibration ingekuwa ya tank za mafuta ni rahisi ila gas sijui though mm si engineer ninako ka uzoefu kwenye tank za mafuta koz nilichota utaalam kutoka Kwa wakala wa vipimo walipokuja sheli ikikushinda watafute hao jamaa watakufanyia

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Kwanza unajua maana ya Calibration???

Calbration ni process ya kufanya kitu kilicho kengeuka kiwe katika usawa/ uhakika.

So unaweza kuwa na Temp gauge ukapima kitu ikakuambia kina 45c• wakati kitu kina 50c•hivyo kufanya calibration ni kufanya temp Gauge isome sawa. Issue namba moja lazima uwe na BENCHMARK

kwa maana nyingine uwe na kitu ambacho una uhakika 100% kinapima kwa usahihi. Hicho ndio kikusaidie kuwianisha

Mfano, Hata wakala wa vipimo WMA wakifika dukani kwako kukagua mzani wanakuja na mawe yao ya 1Kg, 2kg, 5kg na kadhalika ambayo wana uhakika na uzito wake na ndiyo hayo wanatumia kutest mawe yako kama yapo sawa na hayo.

So kabla ya kufanya calibration ya vitu vyako hakikisha una vifaa vya namna hiyohiyo ambavyo vitasahihisha mashine zako.

Pia hakikisha kama Temperature gauge yako na pressure gauge yako ina Adjustuble knobs or whatever kwa ajili ya kutest, regulate na kuvary ili uweze kuset upate unachotaka.

Maana kama Vifaa vyako vipo Rigid havina hata sehemu ya kuzungusha zungusha au kubonya bonya sijui utacalibrate vipi, labda ukanunue gauge nyingine
 
Mkuu Asante sana nimekupata....hizo za Temperature Zina sehemu ya kubonyeza bonyeza kuadjust lakn tatzo ziko embedded ndani ya machine Na zinasoma temp ya ndani ya tank hivyo hata ukija Na external thermometer lazima Tu zitatofautiana reading ila hizo gauges Za pressure ndo zipo kama Zilivo...lakini okay let's assume hauna benchmark ya pressure gauge hamna njia nyingine ya kujua kama Iko Sawa mpaka uibadilishe?
 
Back
Top Bottom