wataalam wa haya masuala naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia naomba anisaidie password zangu za email ya gmail zimebadilishwa na mtu hata cmjui alaf nikitaka ku restore p.word namba nilounganishia email imepotea msaada tafadhal kama kuna m2 anaweza naomba ani PM