Sijui kama unafahamu kinachofanyika unapotaka request thru forgot password? Kwa kifupi system ita-display swali au maswali yale ulilyojaza ulipokuwa una-sign up hiyo account, then system inalinganisha na majibu ya maswali yaliyopo(currently) kwenye account hiyo, yakifanana inatuma reset kwenye alter address uliyo-supply wakati ule....
Issue yenyewe ni kwamba jamaa wameingia kwenye account ya prof na kufanya changes kwenye account na majibu ya maswali if possible kwani wana full-access. kwa hiyo password reset haita work!!!
Kumradhi, kumbe kweli hauwezi kubadili secret question/answer. Na birthdate etc nazao huwezi kubadili.
Tatizo kama mimi hata sikumbuki swali nililoweka some 7 years ago, lets hope I never get phished!!
Your birth date is an important part of your password recovery.
Ndugu muulizaji wa swali nazidi kukusisitizia wafuate yahoo wao ndio wasaidizi wao wa kwanza na wamwisho kisheria hakuna mtu wowote wala kampuni inayotakiwa kuingilia makubaliano yako na yahoo unapotumia huduma yao mwingine akiingia na kukufungulia maana yake anavunja sheria na pengine anaweza kuwekwa kundi moja na wahalifu wengine wote wa masuala ya mtandao
Not entirely correct π
Naanza kuamini kuwa tarehe ya kuzaliwa huwezi kuibadili. Nimefanya jaribio, and this is what I found:
Birthdate: Not displayed for security reasons
You are very right! It is an internet crime under the password fraud and advance fee fraud. Counts ni nyingi sana hapa na emails zitakazotumwa kwa address hii zote zaweza kutumika kama tress out against wao na ushahidi watapokamatwa. Yote haya yatafanywa na YAHOO INC. kwa kitengo cha password fraud. It is a serious crime performed by our fellow west africans. Really shameless!
ONYO: Password or passcode is a personal code hata yahoo wenyewe hawatakaa hata siku moja wakuulize! Na hata hii imeandikwa katika terms zao. It is not surprising watu wengi wakiwa wanajisajili au kujiandikisha pahala wakifika pale wanapotakiwa kujiridhia hawasomi terms. Huwa ziko wazi. Do You Accept wanasema tu YES bila kusoma na hii ni case ambayo ni matokeo yake. Na hiki kipengele kitamfunga huyu mtu kwani ameshaambiwa asi-disclose kwa any body than mwenyewe. I suspect pia kisheria wana haki ya kutomsaidia unless ....... ni VIP kwa yahoo or else!
Not entirely correct π
Naanza kuamini kuwa tarehe ya kuzaliwa huwezi kuibadili. Nimefanya jaribio, and this is what I found:
Birthdate: Not displayed for security reasons