Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,198 Reaction score 11,631 Oct 5, 2013 #1 Wanabodi natumia laptop Emachine E642 nilikuwa natatizo na keyboard ambapo baadhi ya keyboad zilikufa kabisa ilinibidi ninunue keyboard mpya kwa 90000/= Nasikitika huu ni mwezi wa pili tu zimekufa tena sijui tatizo ni nini? naombeni ushauri wenu.
Wanabodi natumia laptop Emachine E642 nilikuwa natatizo na keyboard ambapo baadhi ya keyboad zilikufa kabisa ilinibidi ninunue keyboard mpya kwa 90000/= Nasikitika huu ni mwezi wa pili tu zimekufa tena sijui tatizo ni nini? naombeni ushauri wenu.