Mgombezi JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 610 Reaction score 186 Jun 23, 2011 #1 Wakuu, naomba mwenye software ya ku-convert DVD to MP3 anisaidie. Natanguliza shukrani!
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,570 Reaction score 14,153 Jun 23, 2011 #2 Free DVD to MP3 Converter - free convert DVD to MP3 Ripper, DVD to MP3 Converter free download Pakuwa hapo na install kwa pc yako kisha convert
Free DVD to MP3 Converter - free convert DVD to MP3 Ripper, DVD to MP3 Converter free download Pakuwa hapo na install kwa pc yako kisha convert
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,081 Jun 23, 2011 #3 Zipo nyingi sana jaribu ku google
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,445 Jun 23, 2011 #4 LAkini DVD ni media na kama ilivyo VCD, USB ,Diskette ,Tape mp3 ni file format kama sikosei ya audio format nyingine but hizi ni za video ni VOB ,MPEG4,MPEG2 3GP, AVI So kwanza ujue format ya file iliyo kwenye DVD yako ndio utajua tool sahihi na nzuri ya kuconvert Au sijaelewa wakuuu
LAkini DVD ni media na kama ilivyo VCD, USB ,Diskette ,Tape mp3 ni file format kama sikosei ya audio format nyingine but hizi ni za video ni VOB ,MPEG4,MPEG2 3GP, AVI So kwanza ujue format ya file iliyo kwenye DVD yako ndio utajua tool sahihi na nzuri ya kuconvert Au sijaelewa wakuuu