Msaada: Dollar nimechange imekataliwa

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
499
206
Habari,

Leo nilienda Bureau kutaka kuchange dollars kama 300 hivi. Sasa yule Dada akasema kua hatuchange izi dollars ni za zamani hizi dollars ni za 1996.

Nilihitaji kujua kama ni kweli hazifai kuchange. Au niende bank au bureau gani kuchange?

Ahsanteni.
 
Kwa Tz $ zinazozunguka ni kuanzia za 2006/9- mpaka leo Kama IPO,hapo utachemka
 
USA baby
upload_2016-2-22_17-43-19.png
upload_2016-2-22_17-43-20.png
upload_2016-2-22_17-43-21.png
upload_2016-2-22_17-43-22.png
upload_2016-2-22_17-43-22.png
upload_2016-2-22_17-43-23.png
upload_2016-2-22_17-43-24.png
upload_2016-2-22_17-43-25.png
upload_2016-2-22_17-43-26.png
upload_2016-2-22_17-43-27.png
upload_2016-2-22_17-43-27.png
upload_2016-2-22_17-43-28.png
upload_2016-2-22_17-43-29.png
upload_2016-2-22_17-43-30.png
 
nje ya US sahau. muuzie tu mtu anayesafiri kwenda US/ ... US currency remains legal tender forever (in US) no matter how old
 
mkuu leo saangapi?????
umeandika post saa 1;32Am
kuchange dallar,..umeenda saangapi wakati zimefungwa tangu jana saa18pm....rekebisha upate majibu..........
 
Nikweli dollar ya 1996 hawachukui na ukibahatika kukuta anaechukua anakuchenjia kiduchu yaani unapata hasara. Labda nenda benki.
 
Baadhi ya maduka wanachukua sema kwa pesa ya chini zaidi ,
Dolla 100 unaweza kupewa 190,000
 
Kuna duka pale karibu na askari sanam posta nimelisahau jina huwa wanachukua hizo dollar za longi..we nenda ulizia tuu utalipata
 
Back
Top Bottom