Msaada: Divison 3 Ya 15

Kasomeni guidebook ya TCU vizuri muelewe.Msikae kumdanganye huyo jamaa na kumjaza matumaini hewa...!Bila D mbili hawezi ku join bachelor degree. Mnakwama wapi.mbona vitu vinajieleza...!
Usiwe.mbishl

Kuna watu wanasoma degree kwa Alama Kama hizo
eboo!!
 
Wakuu Samahani,

Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
anasoma fresh bila wasi wasi coz point 4 anazo tayari ila asiombe vyuo vyenye ushindani mkubwa aombe.tu.IFM, Mwalimu Nyerere, n.k
 
Mkuu uelewa wako hauko sawa, kinacho angaliwa ni angalau uwe na point 4 kutoka masomo mawili (ambayo umefaulu kwa level ya principal i.e E and above). Kwa hiyo A na E ambayo ni point 6 kama ulivyoweka INAKUBALIKA nyingine ni DD, CE, na kuendelea.
 
Wanachohitaji ni principal pass mbili zenye point 4.0, D Mbili ni mfano wa upatikanaji wa point 4.0

Lkn pia principal passes ni A,B,C,D,E
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…