Msaada: Divison 3 Ya 15

Zamani kabla hawajakoroga mambo ilikuwa hata uwe na E mbili unapata chuo safi kabisa.Maana ilikuwa ni 2 Principal Pass na kupata hata E ni jambo la heri sana.Hata hivyo naona mabadiliko yamekuwa mengi miaka ya hivi karibuni (TCU, Wizara ya Elimu, NECTA n.k). Kwa huyo mwenye D&E anapata chuo na Kusoma Bachelor yake saafi kimbembe labda kama anataka kozi za Afya na Sayansi (hapa kwa SUA_Kama O'LEVEL alikuwa na tokeo bomba aombe yoyote pale)
 
Wakuu Samahani,

Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
Mkuu Kwa ufaulu huo chuo anapata..... Kuna rfk Yang alipata Grade kam hyo.... Akaomba MuM.... Akapata na kwa sas Yupo second Year..... Trust me
 
Nami nina langu:-
Dogo ana E ya history na S ya kiswahili ambayo ameipata kwa vikao viwili vya mtihani wa kdt cha 6.Alifanya 2019 na karudia pia mwaka huu matokeo ndio hayo kama nilivyoeleza hapo juu. Je,anaweza omba diploma kwa kupitia mtokeo hayo ya vikao viwili!!
#Regards
 
Aombe foundation course
 
*Points za division*
A=1, B=2, C=3, D=4, E=5, S=6, F=7.

*Points za kuingia university*
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5, F=0.

Div I , 3–9
Div II, 10–12
Div III, 13–17
Div IV, 18 – 19
Div O, 20–21

*Tafsiri za points za kuingia chuo*
A, B, C,D na E = Principal pass
S= subsidiary
F= fail

*Ili MTU ajiunge na chuo kikuu*

AA, AB, AC, AD na AE
BB, BC, BD, na BE.
CC, CD na CE
DD.

*Niulize swali nitakujibu*
 
Chuo anapata Wala usihofu maana cut point ni 4 mwaka Jana Kuna vijana wengi tu nimewafanyia application na walikuwa na CEE na Sasa wapo vyuo vikuu na mkopo walipata.
Vyuo gani uliwafanyia application?
 
Advance Principle Ni kuanzia A-E, Subsidiary ni S, Fail ni F.
Kwa vigezo vya TCU wanataka walau uwe na points 4 tu. Sema kunabaadhi ya vyuo binaongeza vigezo vyao ili kupunguza jam ya waombaji, mfano MZUMBE wenyewe huanza na Points 4.5.
Dogo anaenda Chuo. Pia kunabaadhi ya courses zitamtaka, baadhi ya masomo kama English, Maths awe amefaulu O'Level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…