Msaada: Divison 3 Ya 15

Akiwa na DEE atakuwa na point 4 bado hajakidhi vigezo
Akiwa na DSS atakiwa na point 3 hapo kabisa hana vigezo
Akiwa na DES atakuwa na point 3.5 bado hana vigezo.

Cjui ndugu yangu unakwama wapi...!
Katunzi

Acha kupotosha umma,

Haujui jinsi ya kuhesabu pts ,ili udahiliwe chuo kikuu,ni lazima uwe na minimum principle passes 2 yaani worldwide ni E mbili na kwa tanzania ni D 2,lakini principle pass inaanzia E , hivyo akipata E ,c anasifa ya kusoma degree 100%

Kwa hyo acha kudanganya kwa mambo usiyoyajua
 
Ameelewaaa mkuu katulia
 
Ameelewaaa mkuu katulia
Mdau we usijali dirisha la ku apply vyuo si j3 tar 31 ngoja dogo ata apply alafu nitaleta mrejesho hapa majibu yakitoka watu wengine naona wanajifanya wajuaji hawataki kuelimishwa
 
Wakuu Samahani,

Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
Anaweza kupata mkuu maana inshu kubwa Ni point 4 katika masomo mawili na sio D mbili
 
Mkuu Arch.katunzi inaonekana wazi kuwa hujui maana ya principal pass.

Hapo kitakachomfanya akose chuo labda competition ila sio minimum entry qualification.
 
Kasomeni guidebook ya TCU vizuri muelewe.Msikae kumdanganye huyo jamaa na kumjaza matumaini hewa...!Bila D mbili hawezi ku join bachelor degree. Mnakwama wapi.mbona vitu vinajieleza...!
Usibishe kitu usioilewa vizuri.
 
Reactions: p2k
Umeandika maelezo mengi ilhali ni upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…