de carter jr
Senior Member
- Aug 27, 2014
- 142
- 119
Ahh sawa ila kuna mtu kaniambia hapa eti chuoHawezi kusoma degree kama hana D mbili nakuendelea.
Shukran MkuuBachelor utapata cha msingi ni minimum points ni 4.0 yaani C=3 + E=1 =4.0
Usiombeee penye competition
Yuko sahihi. Ili ukidhi vigezo vya kudahiliwa kujiunga chuo kikuu chochote hapa Tanzania ni lazima uwe na angalau point 4 au zaidi katika masomo mawili.Ahh sawa ila kuna mtu kaniambia hapa eti chuo
Anasema et wanataka point 4
A = 5; B = 4; C = 3; D = 2; E = 1; S = 0.5 and F = 0 point.
Ko D2 ni 4 na CE ni 4sasa hapa ndo sielewi
Soma kitabu cha TCU vizuri,ukielewe.Wastani wa chini wa kudahiliwa ngazi ya bachelor degree kwa kidato cha sita kufahuru masomo mawili kwa kupata D mbili zinzazo kupa point 4.Msingi wake ni kufahuru masomo kuanzia mawili.Ukipata mfano A,E ambayo ni point 6,bado huna sifa ya ku join bachelor degree kwa ninavyo elewa.Wanataka principal pass katika masomo mawili ukiondoa GS na somo la dini.principal pass inaanzia D,C,B,A.Yuko sahihi. Ili ukidhi vigezo vya kudahiliwa kujiunga chuo kikuu chochote hapa Tanzania ni lazima uwe na angalau point 4 au zaidi katika masomo mawili.
Ndugu principle inaanziaaSoma kitabu cha TCU vizuri,ukielewe.Wastani wa chini wa kudahiliwa ngazi ya bachelor degree kwa kidato cha sita kufahuru masomo mawili kwa kupata D mbili zinzazo kupa point 4.Msingi wake ni kufahuru masomo kuanzia mawili.Ukipata mfano A,E ambayo ni point 6,bado huna sifa ya ku join bachelor degree kwa ninavyo elewa.Wanataka principal pass katika masomo mawili ukiondoa GS na somo la dini.principal pass inaanzia D,C,B,A.
Kasomeni guidebook ya TCU vizuri muelewe.Msikae kumdanganye huyo jamaa na kumjaza matumaini hewa...!Bila D mbili hawezi ku join bachelor degree. Mnakwama wapi.mbona vitu vinajieleza...!Ndugu principle inaanziaa
E - 1
D - 2
C - 3
B - 4
A - 5
HIVYO LAZIMA UWE NA JUMLA YA PRINCIPLES 4
Wanamaanishaaa principle za chini double ni 2+2 upate 4Kasomeni guidebook ya TCU vizuri muelewe.Msikae kumdanganye huyo jamaa na kumjaza matumaini hewa...!Bila D mbili hawezi ku join bachelor degree. Mnakwama wapi.mbona vitu vinajieleza...!
Ubishi wangu na wewe upo hapa...!Hiki ulicho kiandika hapa cyo sahihi...! Ni upotoshaji...!Bachelor utapata cha msingi ni minimum points ni 4.0 yaani C=3 + E=1 =4.0
Usiombeee penye competition
ProveUbishi wangu na wewe upo hapa...!Hiki ulicho kiandika hapa cyo sahihi...! Ni upotoshaji...!
Ngoja nikupe shule kidogo ndugu yangu hii ni sawa na ile ya mhitimu wa kidato cha nne ili awe na sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,lazima awe ufahulu wa pass tano.Katika hizo pass tano,awe na D 2,C 3 ambazo ni credits, jumla yake ni tano.Huo ni ufahulu wa chini kabisa wanao uhitaji.Kama ikitokea amepata A 2,akapata tena na D 5,Bado hana sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita.ilibidi apate credit 3,ambayo inaanzia C,B,A,na Pass mbili ambazo ni D 2.Ukisikia mtu ana resit kidato cha nne either kapungikiwa na credit 1,2 au zote kwa pamoja.Wanamaanishaaa principle za chini double ni 2+2 upate 4
Sio 2+1
O level hakuna E kama pass mark kumbuka.Ngoja nikupe shule kidogo ndugu yangu hii ni sawa na ile ya mhitimu wa kidato cha nne ili awe na sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,lazima awe ufahulu wa pass tano.Katika hizo pass tano,awe na D 2,C 3 ambazo ni credits, jumla yake ni tano.Huo ni ufahulu wa chini kabisa wanao uhitaji.Kama ikitokea amepata A 2,akapata tena na D 5,Bado hana sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita.ilibidi apate credit 3,ambayo inaanzia C,B,A,na Pass mbili ambazo ni D 2.Ukisikia mtu ana resit kidato cha nne either kapungikiwa na credit 1,2 au zote kwa pamoja.
Mfano wa pili ni pale ukitaka ku join certificate, vyuo vingi vinataka ufahulu katika masomo 4,angalau uwe na D 4,moja lila somo.Ikitokea ukawa na A mbili alafu masomo mengine ukawa na F,bado huna vigezo vya ku join certificate. Itakubidi u resit kutafuta pass mbili ambazo ni D mbili kwa kila somo.Ili kwa kuunganisha A zako mbili za matokeo ya kwanza na D zako mbili za mtihani wako wa pili,jumla utakuwa na pass zako nne na utakuwa na sifa ya ku join certificate.
The same applied kwa matokeo ya kidato cha sita.lazima ufahulu masoma mawili kuanzia D,zinazokupa points 4.Nadhani utakuwa umeelewa...!
Angaliaa hapa IKO BAYANANgoja nikupe shule kidogo ndugu yangu hii ni sawa na ile ya mhitimu wa kidato cha nne ili awe na sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,lazima awe ufahulu wa pass tano.Katika hizo pass tano,awe na D 2,C 3 ambazo ni credits, jumla yake ni tano.Huo ni ufahulu wa chini kabisa wanao uhitaji.Kama ikitokea amepata A 2,akapata tena na D 5,Bado hana sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita.ilibidi apate credit 3,ambayo inaanzia C,B,A,na Pass mbili ambazo ni D 2.Ukisikia mtu ana resit kidato cha nne either kapungikiwa na credit 1,2 au zote kwa pamoja.
Mfano wa pili ni pale ukitaka ku join certificate, vyuo vingi vinataka ufahulu katika masomo 4,angalau uwe na D 4,moja lila somo.Ikitokea ukawa na A mbili alafu masomo mengine ukawa na F,bado huna vigezo vya ku join certificate. Itakubidi u resit kutafuta pass mbili ambazo ni D mbili kwa kila somo.Ili kwa kuunganisha A zako mbili za matokeo ya kwanza na D zako mbili za mtihani wako wa pili,jumla utakuwa na pass zako nne na utakuwa na sifa ya ku join certificate.
The same applied kwa matokeo ya kidato cha sita.lazima ufahulu masoma mawili kuanzia D,zinazokupa points 4.Nadhani utakuwa umeelewa...!
Hivi ukisikia watu wana resit kidato cha sita,unadhani hawaelewi kinacho endelea.Siyo rahisi hivyo kama unavyo fikiria...!
Anaweza kuwa na D na EEHivi ukisikia watu wana resit kidato cha sita,unadhani hawaelewi kinacho endelea.Siyo rahisi hivyo kama unavyo fikiria...!