MSAADA: Dhana ya Kuchangia/Kutochangia Shuleni

Wale wa boarding inakuaje kuhusu msosi?
Elimu bure imetangazwa ila tatizo ni ukosefu wa utaratibu namna ya kufikia lengo. Kwa mfano, utaratibu ulitakiwa uwe very clear, Serikali itatoa chakula bure mashuleni na hilo litekelezwe. Pale ambapo chakula hakitolewi, muda wa masomo utaisha saa sita mchana, n.k. n.k. Kilichopo sasa ni matamko ya kisiasa pasi na taratibu za wazi za kufikia malengo na mzembe namba moja hapa ni wizara husika ambayo ilitakiwa kuandaa hizo taratibu.
 
Mpaka saa 12.wanasoma nini?
Mbona kulikuwa na utaratibu mzuri wakati nasoma.tunaingia saa moja asubuhi.mpaka saa 4 kamili mapumziko.ya dakika 40.alafu tunaingia darasani mpaka saa 8 mchana.wale darasa la saba wanaruhusiwa kwenda kula alafu wanarudi saa 9 mpaka saa 12.
hyo michango ni miradi ya walimu.
Mpe mtoto hela ya kula.au aende na chakula shule..

Consider:

- Umbali wa Nyumbani vijijini?
- Kwenda kula kunawezekanaje?
 
Ni kweli..
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya kurudi shule saa12 na waalimu kula michango,kuhusu muda ni wazazi pamoja na kamati au bodi ya shule huamua muda wa kurudi nyumbani
 
Consider:

- Umbali wa Nyumbani vijijini?
- Kwenda kula kunawezekanaje?
waende na chakula kwenye mahot pot.
Sasa unavyowachangisha.hizo hela wengine hawana.
Na sioni kama kuna haja ya kukaa mpaka saa 12.saa 8 mchana mtoto arudi kwao akapambane na mama ake.kama kapika au hajapika.
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya kurudi shule saa12 na waalimu kula michango,kuhusu muda ni wazazi pamoja na kamati au bodi ya shule huamua muda wa kurudi nyumbani
Sijui ninyi mliosoma huko vijijini.
Lakini kwa Mimi niliyesomea wilaya ya kinondoni.hayo mambo ya michango ya chakula hayakuwepo.
Tulikuwa tunapewa hela nyumbani za kutumia shule.
Mtoto akikataa kwenda shule sababu hakuna chakula.kwa kweli huo ni uzembe wa wazazi na walimu.na kuwadekeza.
 
waende na chakula kwenye mahot pot.
Sasa unavyowachangisha.hizo hela wengine hawana.
Na sioni kama kuna haja ya kukaa mpaka saa 12.saa 8 mchana mtoto arudi kwao akapambane na mama ake.kama kapika au hajapika.

Mi siwachangishi
 
Jibu ni kwamba lunch na uji ndo umefutwa namna hiyo kuanzia sasa mfungashie mwanao asubuhi ili aweze kuhimili mikikimikiki hadi saa 12 jioni la sivyo ndo unaua future ya mwanao

kama njia bado mzazi atamfungashia mwanaye chakula.... hakuna burden iliyopunguzwa kwa mzazi. Kihalisia badala ya kupeleka mchango shuleni ili pawepo na central administration kila mtu anaji- administer mwenyewe
 
Mi siwachangishi
Sawa.ila tuache kuwatetea walimu na michango yao.wakijificha kwenye kivuli cha njaa.

Kuwaongezea muda watoto wa kukaa shule.ndo yanakuja yote haya.

iwe sa nne mapumziko.saa nane wanarudi makwao kwenda kula.kama kuna masomo ya ziada warudi baadae.
 
Mpaka saa 12.wanasoma nini?
Mbona kulikuwa na utaratibu mzuri wakati nasoma.tunaingia saa moja asubuhi.mpaka saa 4 kamili mapumziko.ya dakika 40.alafu tunaingia darasani mpaka saa 8 mchana.wale darasa la saba wanaruhusiwa kwenda kula alafu wanarudi saa 9 mpaka saa 12.
hyo michango ni miradi ya walimu.
Mpe mtoto hela ya kula.au aende na chakula shule..
Unaishi nchi gani wewe....
 
Mi ninapenda tu kujua kwamba, Serikali inaposema kwamba wazazi wasitoe michango yeyote Shuleni ina maana wanafuta lunch and Uji kabisa kwa wanafunzi wa kutwa, au serikali itakuwa inatoa na HUDUMA IPO PALE PALE?

Hivi ni waalimu wasishike fedha au michango isitolewe? Inaonekana michango iendelee ila kwa mapenzi ya mzazi au mlezi na pia ila michango iwasilishwe kwa mkurugenzi wa mji husika.

Mimi mtoto wangu hasomi huko, KAMA NI KWELI hili ni jambo la kusikitisha SANA SANA SANA!
Na watoto wa watoa maamuzi hayo hawako huko pia. Wenye watoto wao waendelee kushangilia elimu bure kisha waje kulinganisha watapokuwa watoto wao na wa watoa maamuzi huko mbele ya maisha.
 
Mpaka saa 12.wanasoma nini?
Mbona kulikuwa na utaratibu mzuri wakati nasoma.tunaingia saa moja asubuhi.mpaka saa 4 kamili mapumziko.ya dakika 40.alafu tunaingia darasani mpaka saa 8 mchana.wale darasa la saba wanaruhusiwa kwenda kula alafu wanarudi saa 9 mpaka saa 12.
hyo michango ni miradi ya walimu.
Mpe mtoto hela ya kula.au aende na chakula shule..
Unazungumzia shule as mjin tu au
Maana kijijin kuna sehemu nyingine hata duka ni mtihan
 
waende na chakula kwenye mahot pot.
Sasa unavyowachangisha.hizo hela wengine hawana.
Na sioni kama kuna haja ya kukaa mpaka saa 12.saa 8 mchana mtoto arudi kwao akapambane na mama ake.kama kapika au hajapika.
kwani michango ni chakula peke yake? au ni primary school peke yake?
Ndio maana mnaambiwa mna akili za popo.

Shule zina umeme, maji, solar, na hata computer siku hizi. bills zitalipwa na nani? maji na umeme? lazima kuweka mlinzi, nani atamlipa?

Siku hizi mnataka mitihani ichapwe na sio kuandikwa ubaoni, nani achape na kudurufisha? kwa fedha zipi? kwa hizi test za kila wiki au kila mwezi?? Duh!!

Elimu bure maana yake kuwe na plans ndani ya serikali, wajue kwamba sasa wizara inatakiwa kupewa budget kubwa zaidi ili kuweza kupata capitation grant ya kutosheleza kwa kila mwanafunzi. Sio elimu bure kwa vitisho.....Mambo hayaendi hivyo.

Na wale mawaziri wanaitwa nyumba nyeupe kutishwa na wanatingisha mikia wakati wanajua ukweli.
Halmashauri zimenyang'anywa mapato na serikali kuu, unategemea OC itatoka wapi kuweza kuchangia kulipa walimu wa ziada au kutoa huduma za muhimu zinapohitajika mashuleni?

Tutabakia kuomba na kushukuru wahisani kwa kutujengea matundu ya vyoo....SHITHOLE
 
Mbona red na blue unatuchanganya? Yaani mzazi ambaye hana uwezo wa kuchangia alfu 20 kwa mwaka ni wa kumfungashia mwanawe lunch kwenye hot pot kweli? Acha mizaha Mkuu.
 
kwani michango ni chakula peke yake? au ni primary school peke yake?
Ndio maana mnaambiwa mna akili za popo.

Shule zina umeme, maji, solar, na hata computer siku hizi. bills zitalipwa na nani? maji na umeme? lazima kuweka mlinzi, nani atamlipa?

Siku hizi mnataka mitihani ichapwe na sio kuandikwa ubaoni, nani achape na kudurufisha? kwa fedha zipi? kwa hizi test za kila wiki au kila mwezi?? Duh!!

Elimu bure maana yake kuwe na plans ndani ya serikali, wajue kwamba sasa wizara inatakiwa kupewa budget kubwa zaidi ili kuweza kupata capitation grant ya kutosheleza kwa kila mwanafunzi. Sio elimu bure kwa vitisho.....Mambo hayaendi hivyo.

Na wale mawaziri wanaitwa nyumba nyeupe kutishwa na wanatingisha mikia wakati wanajua ukweli.
Halmashauri zimenyang'anywa mapato na serikali kuu, unategemea OC itatoka wapi kuweza kuchangia kulipa walimu wa ziada au kutoa huduma za muhimu zinapohitajika mashuleni?

Tutabakia kuomba na kushukuru wahisani kwa kutujengea matundu ya vyoo....SHITHOLE
Hao watoto unaowaonea huruma.ndo wazazi wao wana lalamikia michango.sioni sababu ya kuwaumiza wazazi.wapunguze muda wa kukaa shule.kwani lazma wakae mpaka SAA 12?
 
Go back to school kid, you are still young.
Sina elimu.ila Nina ufahamu wa kuzaliwa nao.
Ambao wewe hauna.
Na kwa bahati mbaya hakuna shule ya kufundisha ufahamu.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom