M mlimbwende Member Joined Jul 15, 2011 Posts 74 Reaction score 26 Sep 4, 2012 #1 Kama kuna mtu anajua dawa ya mende anijulishe tafadhari, nimefanya furmigation lakini wamerudi tena najitahidi sana kuzingatia usafi lakini wanarudi tena wale wadogo wadogo
Kama kuna mtu anajua dawa ya mende anijulishe tafadhari, nimefanya furmigation lakini wamerudi tena najitahidi sana kuzingatia usafi lakini wanarudi tena wale wadogo wadogo