kinandinandi
Senior Member
- Apr 3, 2015
- 183
- 142
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mtoto wangu anaugonjwa wa jipu ambalo likiiva na ukalikamua baada ya miezi mitatu linaludia tena nimejaribu kumpeleka hospital kunawakati dawa alizo pewa zilifanya lipasuke lenyewe lakini baada ya miezi mitatu linaludia tena na ndio maana nimekuja kuomba msaada humu jf nikiwa na imani ya kupata ufumbuzi wa ugonjwa huo
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app