Msaada dawa ya kutibu jipu

kinandinandi

Senior Member
Apr 3, 2015
183
142
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mtoto wangu anaugonjwa wa jipu ambalo likiiva na ukalikamua baada ya miezi mitatu linaludia tena nimejaribu kumpeleka hospital kunawakati dawa alizo pewa zilifanya lipasuke lenyewe lakini baada ya miezi mitatu linaludia tena na ndio maana nimekuja kuomba msaada humu jf nikiwa na imani ya kupata ufumbuzi wa ugonjwa huo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Pole sana kama ni jipu la kawaida niliwahi kuelekezwa dawa ikanisaidia waweza kujaribu ikakufaa, chukua majani ya mbigiri yapondeponde kisha yafungashe kwenye jani pana hata la mgomba tumbukiza hicho kifurushi kwenye mkaa wa moto baada ya dakika chache ukitoe ukishafungua utakuta yamebadilika rangi kama vile mboga za majani zilizopikwa ikiwa bado ni ya moto pakaa kwenye jipu kisha acha yakaukie hapo baada ya kukaukia hapo jipu litapasuka lenyewe utasafisha na kukanda vizuri ili kuhakiki kama kiini chote kimetoka na mambo yatakuwa shwari

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Asante ila majani ya mbigili siyajui kiongozi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mbigiri ni miba midogo midogo umbo la hiyo miba ni kama nyota mmea huo huwa haurefuki ila unatambaa huota hata kwenye makazi ya watu

Ukifanikiwa ulete mrejesho mkuu.

Hizo mbigiri hupatikana kipindi cha masika mvua zikiwa zinanyesha, siuji wewe ulipo huko ni msimu gani sasa hivi.
 
Asante nimesha uelewa mkuu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Ukifanikiwa ulete mrejesho mkuu.

Hizo mbigiri hupatikana kipindi cha masika mvua zikiwa zinanyesha, siuji wewe ulipo huko ni msimu gani sasa hivi.
Ndugu nimetumia njia ya kupaka kitunguu swaumu mida hii naona limepasuka kiini bado hakijatokabado

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kukamua jipu yataka Moyo, tafuta mtu wa jirani akusaidie au mpeleke dispensary wakusaidie kukamua, ukae nje wakuite wakimaliza halitarudi tena. Umpe dawa za homa pia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom