Msaada dawa ya kutibu fizi zinazotoa damu

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
371
255
Habari wana jf
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada wa kupata dawa nzuri ya kinywa inayoweza kutibu fizi zinazotoa damu mara kwa mara. Msaada wenu jamani.
 
Muone daktari wa meno, huduma ya kwanza sukutua na maji ya uvuguvugu yenye chumvi.
 
Kula machungwa au karafuu huo ni ukosefu wa vitamin c tu Wala hakuna kingine UTAKUJA KUNISHUKURU
 
Pengine ni moja ya dalili ya ugonjwa wa Kiseyeye (Scurvy) inayosababishwa na ukosefu au upungufu wa vitamin c(ascorbic acid)... Kula matunda na mboga za majani.

Au, ikawa ni tatizo lingine.
 
Back
Top Bottom