Msaada, dawa ya kuachana na mapenzi

Mpango wa kuacha mapenzi sina, japo yameniotea yakanichapa hatari mpaka nikadata,
Ila hayo mapenzi yajage tu yaniue yataamua yenyewe yazike ama yasafirishe..!
Aluta Continua. If we die we die
 

Kujifurahisha nafsi ni pamoja na wewe kupewa dudulayuyu!
 
Mimi nafatisha maneno yako ujue mzee wa mbususu
Alafu nyie mnajidai kwenda kwa hao ambao sio wazee wa mbususu lakini ndio mkishaliwa huko mnakuja jf kulia lia. Sasa sii bora tuu ugeggedwe na mzabzab
 
Alafu nyie mnajidai kwenda kwa hao ambao sio wazee wa mbususu lakini ndio mkishaliwa huko mnakuja jf kulia lia. Sasa sii bora tuu ugeggedwe na mzabzab
wasio wazee wa mbususu wengi wamezubaa bwana hatuwataki hao
 
Unavyonekana mtamu hivyo unataka kuwabania wenzio mapenzi eeh!!??
 
wasio wazee wa mbususu wengi wamezubaa bwana hatuwataki hao
Ah kumbe mnawapenda wazee wa mbususu ila ndio hivyo mkubali maumivu ya moyo🀣🀣🀣🀣
 
Ulianza mahusiano na huyo counselor?
 
Samahani lakini ntakuwa tofauti na mawazk yako kwakuwa kila mtu Ana uhuru wa kutoa maoni nami nitatoa yqngu ...... kwanza Pole na maswahibu yakiyokupata lakini nimejarib kuwaz pengine mapenzi siyo tatizo ila wewe ndo tatizo inawezwkana wewe ni aina ya wanawake wanao tafta aina flani ya wanaume wenye uewzo kifedha yani aina ya wanaume unao toka nao unawakubalia kwasababu fulani .... au wewe ni mwanamke unaye chagua sana wanaume umejiweka katika level fulani.

Sasa basi hayo unayo kutana nayo ni matokeo yake labda nikushauri kama itakupendeza jaribu kubadili mazingira then jitahidi kuanza kubadilika ni bora uwe na mwanaume unaye mmudu ila ukajishusha utaenjoy maisha tena utaishi simple sana ...
 
Unachopaswa ni kuamua tu kuwa mapenz haya nafas kwako....ukiamua hautopata tabu yafate malengo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…