Msaada, dawa ya kuachana na mapenzi

Nipe mimi nafasi naahidi kutokukutoa machozi lakini sina hela.
 
Kuna mwamba kaonja then amepita hivi kmya kmy
 
Mamie ni ngumu kuyakwepa mapenzi ila unauwezo wa kuyapumzisha ushauri wangu kwako jipe likizo ya muda fulani unaweza kuchukua hata mwezi ili utoe ushungu na stress ulizonazo then endelea na maisha kama kawaida

Dada ni kuambie kitu mapenzi ya dhati yapo sema wewe umeshindwa kumpata mtu sahihi wakuingia kwenye mahusiano na wewe ila wanaume wapo ambao wapo wanaojua kupenda, waaminifu, wanajali na wanaoweza kumpa thamani mwanamke sema wewe umeshindwa kuwapata wa namna hii muombe Mungu na sali I hope one day utampata wa namna hii.
 
Piga punyeto kwa kasi ya 5G
 
Hata kama tukikupa mbinu,nyege zako mwenyewe zitakurudisha kwenye vipigo vya vitu vizito!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…