duh atafanyaje kaz n mtoto mdogo ivo si bado mzazi
Jambo wakuu!
Nina shida ya ghafla na mfanyakazi wa ndani (house girl). Kwa yeyote anayefahamu mahali/namna naweza kumpata msichana huyo hapa Dar naomba aniPM. Kituo cha kazi ni Wilaya ya Temeke, Kata ya Mtoni Kijichi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wenu.
Huyu binti wa Arusha ninamhitaji hapa Dar. Mpe simu yangu 0715287233
jamani natafuta dada wa kaz nina familia ya watu watatu
bado natafuta nahitaji ninashida sanaBado unatafuta kuna
umepata kiongozi,...,.