Mkuu ki mpango wangu stick kwenye VVT-i issue ya kula mafuta sio issue uki-compare na 1G,Wengi wanaogopa VVT-i vile mafundi sio wengi ila consumption ni nzuri sana kama ipo order kwenye:- weka plug za maana,Air Filter iwe nayo ya maana,Overdrive iko Off,Engine Oil umeweka ya maana na hydrolic nayo umekewa ya BP maana bila kusahau Coolant ya BP ama Caltex.Hapo utaifurahia VVT-i