Msaada: Cramp meter

Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
783
628
Habari zenu wakuu!
Naomba msaada wa wapi ninaweza kupata digital cramp meter yenye uwezo wa kupima current ya DC na AC, voltage ya DC na AC pamoja na function zingine, maana nimezunguka maeneo mengi ambapo zile nilizopata zilipungukiwa uwezo wa kupima DC Current ambayo kwa kazi yangu, ina ulazima.
Asante.
 
Kuanzia wap volt ngap au ampere ngap mpk ngap??npe specification zake unazotaka
 
Ndo yenyewe hiyo japo sijajua utaratibu wa kununua online mkuu, labda waweza nieleza utaratibu upoje

uwe na visa card ya bank, utajaza form hapo zeni watakata pesa kwa account yako ya bank na kukuletea hicho kifaa haraka kupitia dhl
 
Unafanya kazi gani mkuu
Maana kupima DC amp Kwa kiasi kikubwa hivo nashindawa kuelewa
Thou najua machine za welding zinazo choma Aluminum Rectifier ya DC
Plz nijibu mkuu
 
Unafanya kazi gani mkuu
Maana kupima DC amp Kwa kiasi kikubwa hivo nashindawa kuelewa
Thou najua machine za welding zinazo choma Aluminum Rectifier ya DC
Plz nijibu mkuu
kazi yangu inadeal na umeme wa site (minara) mkuu ambayo lazima umeme wa AC na DC utumike.
 
Back
Top Bottom