The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,662
- 2,288
Kama diploma ya uhasibu si anaanza na intermediate ( level c & d ) , ? Kama ana digrii ya uhasibu si anaanza final ( module e & f)ili upate CPA inabidi ufaulu levels za Foundation, Intermediate na Final Stage na ni process sio kama unavyosema kama unaenda kuchukua
Wala sio ngumu kiihivyo , unaweza ukafanya na ukafaulu Tu , tena uku unatafuta kazi taratibu na hivyo diploma , Kwa kifupi kwenye interview ukiitwa utakuwa uko vizuri kutokana kuwa update, wazo lako ni zuri Sana, sema watu wanakutisha TuHahahah yaan kwa jinsi watu wanavyodondosha wino hapa kuna uwezakono mkubwa nipige chini tuu hii issue
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani CPA Kwa mwaka si unafanya mtihani mara mbili, binafsi CPA wala hajanisumbua kiivyo pamoja na kwamba undergraduate sijafaulu sana, nafikiri kusoma vizuri na kuelewa ndio solutions, tena mwaka wetu ( Nov 2012) paper ya MA lilikuwa jiwe hasa , sasahivi papers zimekuwa simple unarecord hata somo moja tofauti na nyuma, Nina wajua watu wenye uwezo wa kawaida wana CPACPA ni kama betting mzee, if you have time and money to waste then komaa nayo. Unaweza ukawa T.O diploma na still paper za CPA zikakutoa nishai ukajikuta unarudia zaidi ya mara moja.
Ndio maana nikasema inakuwa kama betting maana inategemea sana zali lako. Pepa ikilalia upande wako unachana tu simple. Ikikujia opposite unakula za uso unarudi kujipanga upya na mashambulizi.Kwani CPA Kwa mwaka si unafanya mtihani mara mbili, binafsi CPA wala hajanisumbua kiivyo pamoja na kwamba undergraduate sijafaulu sana, nafikiri kusoma vizuri na kuelewa ndio solutions, tena mwaka wetu ( Nov 2012) paper ya MA lilikuwa jiwe hasa , sasahivi papers zimekuwa simple unarecord hata somo moja tofauti na nyuma, Nina wajua watu wenye uwezo wa kawaida wana CPA
Yes ndio hivyo, hila ni Imani yangu kitu ingekuwa tight kama zamani sidhani kama CPAs wangekuwa wengi , pia kitendo cha kuweza kurekodi somo moja nayo imechangiaila waajiri wengi siku hizi cpa wanaichukulia poa.. unakuta mtu una cpa.. ila kazi unazofanya za kikarani tu.. sijui sababu ni cpa holder wameanza kuwa wengi au nini?
sawa sawa mkuuKuna masomo kama Management Accounting bila kugusa chuoni kwanza huku kwenye CPA utahangaika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ok sawa mkuuKama diploma ya uhasibu si anaanza na intermediate ( level c & d ) , ? Kama ana digrii ya uhasibu si anaanza final ( module e & f)
sawa sawa mkuu,kwa kunitia moyoWala sio ngumu kiihivyo , unaweza ukafanya na ukafaulu Tu , tena uku unatafuta kazi taratibu na hivyo diploma , Kwa kifupi kwenye interview ukiitwa utakuwa uko vizuri kutokana kuwa update, wazo lako ni zuri Sana, sema watu wanakutisha Tu
sawa sawa mkuuCPA ni kama betting mzee, if you have time and money to waste then komaa nayo. Unaweza ukawa T.O diploma na still paper za CPA zikakutoa nishai ukajikuta unarudia zaidi ya mara moja.
Ok poa
Management accounting hata chuoni watu wengi hawaijui wanakuja kujua kwenye CPAs review classes, shida MA haitaki kukariri , inabidi uelewe na chuoni muda wenyewe ni mchache na masomo ni mengi, hivyo watu wengi chuoni tunatoka shallowKuna masomo kama Management Accounting bila kugusa chuoni kwanza huku kwenye CPA utahangaika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio advanced diploma, hiyo ni higher diploma ambayo ni NTA LEVEL 7 iii, yaan mwaka wa tatu ambako mwakav wa 4 ndiyo level 8 sasa na degree.D. I. T Nafikiri bado wanatoa kwa degree ya miaka 4 kama ikitokea umesoma miaka 3 unapewa advanced diploma
Hebu pitia prospectus ya D.I.T vizuri maana mi nafikiri ndio sikuelewa.Sio advanced diploma, hiyo ni higher diploma ambayo ni NTA LEVEL 7 iii, yaan mwaka wa tatu ambako mwakav wa 4 ndiyo level 8 sasa na degree.
Alafu mkuu heb n ambie mtu ukitoka six then ukienda dip..ndo huwa inajulikana ni NTA level ngp?Hebu pitia prospectus ya D.I.T vizuri maana mi nafikiri ndio sikuelewa.
NTA LEVEL 6Alafu mkuu heb n ambie mtu ukitoka six then ukienda dip..ndo huwa inajulikana ni NTA level ngp?
Sent using Jamii Forums mobile app