MSAADA: CPA kwa Accountant

Status
Not open for further replies.
Mkuu umejibu vyema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan pia mkuu naomba kuuliza,
Vipi kwenye issue ya Loan kwa aliyetoka diploma anayetaka kuunganisha Bachelor.Mkopo upo wa kusatisfy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mtu aliyemaluza firm 4 anaweza kufanya. Tofauti ni utafanya mitihani mingapi? Kuhusu gharama inatofautiana kulingana na level ya mtihani. Pia kuna gharama za tuition n.k.

Kama una diploma andaa kama mil 52 mana utafanya mtihani na kufeli mara 40, utafutiwa mtihani mara 36 na utakimbi bila kumaliza.


Iyo paragraph ya mwisho ipuuze ni tangazo la mdhamini



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahhahahahah Aaah haya mkuu.
haya mambo bila wadhamini yaendi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahahahah Aaah haya mkuu.
haya mambo bila wadhamini yaendi


Sent using Jamii Forums mobile app

hahaha nakutishia tu mkuu. Tuition kwa somo ina range btn 100k-150k, kulipia bodi inarange 80k-150k kwa somo depends on level. Kwa hesabu za haraka kama utafanya bila kufeli andaa kama 3M (apo nimekadiria utafanya mitihani 12).

Ukiacha bia na mademu unamudu hizi gharama mkuu


Usitilie maanani paragraph ya mwisho
 

Tupo pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiraremapojoni sory mkuu vip maana ya adv diploma ndo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
huu ni mfumo wa kielimu wa kizamani ambao baadaye ulifutwa nadhani kwenye miaka ya 2010. zamani mkimaliza form six kulikuwa na cut point ya kwenda vyuo vikuu na colleges. university walikuwa wakitoa Degree ila college walikuwa wakitoa Advanced Diploma ambayo ni sawa na degree mana mkifaulu nyote mnaaendelea masters. vyuo kama cbe, ifm, IAA,TIA walikuwa wakitoa advanced diploma ila UDSM walikuwa wanatoa degree. ila ni mfumo ambao hautambuliki duniani mana niliwahi kufanya scholarship questionaire wakaniuliza advanced diploma ni equivalent na nini, nikawajibu bachelor wakasema hatuna kiwango hicho.


wasomi wa sasa hii kwenu ni msamiati mpya kama enzi zetu tukisikia muhasibu ana NAD au NABOCE tunaona kama kitu kipya. kila zama na kitabu chake
 
Shukran mkuu kwa ufanunuzi mzuri,hapo nimekuelewa vzr na wengi wetu tumepata mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D. I. T Nafikiri bado wanatoa kwa degree ya miaka 4 kama ikitokea umesoma miaka 3 unapewa advanced diploma
 
Kasome degree ndio uanze hio cpa, siku hizi kazi nyingi wanatafuta combination ya degree na cpa vyote kwa pamoja, kitu kingine hio cpa ina mitihani migumu na MTU asipojiangalia unaweza kupoteza miaka na miaka.....Fanya degree kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…