Habarini za wakat wakuu,Naamin sote tu wazima kwa wale mliokutana na changamoto za hapa na pale poleni.
Nijikite kwenye mada,Naomba kupata ufafanuzi kwa wale wajuzi au hata kama una idea na hili jambo:
Hivi kwa aliyesomea Diploma ya Uhasibu anauwezo wa kuchukulia CPA???? na jee cost yake inakuwaje kwa issue ya mitihani??
Pia nataka kujua vipi kwa anayepata CPA after diploma/stashahada na anayepata after bachelor/shahada wote wanauwezo wa kuaaply same job?
Kwamba kama aliyechukua CPA diploma ana sifa ya kuaaply same job na aliyepata Bachelor CPA???
Kuhusu ajira jibu ni NdioHabarini za wakat wakuu,Naamin sote tu wazima kwa wale mliokutana na changamoto za hapa na pale poleni.
Nijikite kwenye mada,Naomba kupata ufafanuzi kwa wale wajuzi au hata kama una idea na hili jambo:
Hivi kwa aliyesomea Diploma ya Uhasibu anauwezo wa kuchukulia CPA???? na jee cost yake inakuwaje kwa issue ya mitihani??
Pia nataka kujua vipi kwa anayepata CPA after diploma/stashahada na anayepata after bachelor/shahada wote wanauwezo wa kuaaply same job?
Kwamba kama aliyechukua CPA diploma ana sifa ya kuaaply same job na aliyepata Bachelor CPA??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kwa degree ya uhasibu bila shakaHata mm ukisema unalevel gani ya elim nitakusaidia
Mfano ukiwa na Degree unaanza na intermediate, ukiwa na Certificate au Masters pia kuna level zake
Kwa nini mkuu usingewazia kusomea CPA?Ningekuwa mimi ndie wewe (assumming unafikiria kusomea Uhasibu) nisingefikiria CPA (T). would have gone for any internationally recognized qualification.
DiplomaHata mm ukisema unalevel gani ya elim nitakusaidia
Mfano ukiwa na Degree unaanza na intermediate, ukiwa na Certificate au Masters pia kuna level zake
Hapa focus ya ajira anayotegemea... Km anafikiria local mm nisingeshauri hvNingekuwa mimi ndie wewe (assumming unafikiria kusomea Uhasibu) nisingefikiria CPA (T). would have gone for any internationally recognized qualification.
Ndio ninachofucus zaidi ni kwenye soko la ajira.Hapa focus ya ajira anayotegemea... Km anafikiria local mm nisingeshauri hv
Hapa focus ya ajira anayotegemea... Km anafikiria local mm nisingeshauri hv
Ndio ninachofucus zaidi ni kwenye soko la ajira.
Alafu vipi hii CPA inachukuliwa kwa kipindi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
ukipata muda nenda ofisi za Bodi ya Uhasibu pale karibu na mahakama ya Kisutu watakusaidiaHabarini za wakat wakuu,Naamin sote tu wazima kwa wale mliokutana na changamoto za hapa na pale poleni.
Nijikite kwenye mada,Naomba kupata ufafanuzi kwa wale wajuzi au hata kama una idea na hili jambo:
Hivi kwa aliyesomea Diploma ya Uhasibu anauwezo wa kuchukulia CPA???? na jee cost yake inakuwaje kwa issue ya mitihani??
Pia nataka kujua vipi kwa anayepata CPA after diploma/stashahada na anayepata after bachelor/shahada wote wanauwezo wa kuaaply same job?
Kwamba kama aliyechukua CPA diploma ana sifa ya kuaaply same job na aliyepata Bachelor CPA???
Shukran mkuuukipata muda nenda ofisi za Bodi ya Uhasibu pale karibu na mahakama ya Kisutu watakusaidia
ili upate CPA inabidi ufaulu levels za Foundation, Intermediate na Final Stage na ni process sio kama unavyosema kama unaenda kuchukuaNdio ninachofucus zaidi ni kwenye soko la ajira.
Alafu vipi hii CPA inachukuliwa kwa kipindi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inachukuliwa wapi? Kama zipo nyingi nichukulie moja.....Ndio ninachofucus zaidi ni kwenye soko la ajira.
Alafu vipi hii CPA inachukuliwa kwa kipindi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuuINATEGEMEA NA DIPLOMA ULIYONAYO NI YA MASOMO GANI? KAMA NI YA ACCOUNTANCY UNAANZA NA FOUNDATION KISHA INTERMEDIATE HALAFU FINAL. UKISHAMALIZA FINAL MASOMO YOTE MANNE NDO UNAPEWA CPA CERTIFICATE.
KWA USHAURI WANGU KAMA KICHWA KIKO VIZURI SANA NI VIZURI UKAANZA NA FOUNDATION KISHA UKAPIGA INTERMEDIATE NA FINAL. MAAN UKIWA NA DIPLOMA UNAANZA FOUNDATION AMBAYO NI MASOMO MATANO ( KAMA SIJAKOSEA) NA UKIMALIZA HAYO UNAENDELEA NA HATUA YA PILI AMBAYO NI INTERMEDIATE NA ILI UFANYE INTERMEDIATE UNATAKIWA UWE UMEMALIZA BACHELOR. SWALI LAKUJIULIZA NI MUDA GANI TOKA DIPLOMA MPAKA BACHELOR? DHAHIRI NI MIAKA MITATU NA HATA UWE HUJAMANIKIKA KIASI GANI HUWEZI MALIZA MIAKA MITATU KWA MASOMO MATANO KAMA UMEAMUA KWELIKUWEKEZA KWENYE MAISHA
WASIWASI WAKO NILIUONA NI KWAMBA KAMA HUNA DEGREE LABDA ITAKUWA CHANGAMOO KWA KUENDELEA KUSOMA SI KWELI HATA KIDOGO NA HIYO DHANA IONDOE KWANI NILISOMA MASTERS NA MTU AMBAYE HANA DEGREE ILA ANA SPA NA ALIKUWA NA UWEZO MZURI SANA KULIKO HATA SISI WENYE DEGREE.
CHANGAMOTO YA MIOTIHANI YA NBAA NI KUJITOA KWA HALI NA MALI NA PIA USIWE NA MAMBO MENGI MANA YANAKULA MUDA NA SOMETIMES NGOMA ZINAGOMA ILA UKIKOMAA INAWEZEKANA KABISA.
LAMWISHO KWA NINI WAHINDI MNAOSOMA NAO O LEVEL HUWAKUTI A LEVEL WALA KWENYE VYUO VYA BIASHARA LAKINI BAADA YA MIAKA MITATU MINNE ANA ACCA AMBAYO ANAIFANYIA KAZI ULIMWENGU MZIMA.
NAOMBA KUWASILISHA