Msaada: Consumption ya Jeep Cherokee. 3,700 CC

Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
Old model unaongelea zile za 1998 huko au hizi za kuanzia 2004 zenye milango ya kuslide miwili? Kama hizi za kuanzia 2004 mbona zinapiga 12km per litre
 
Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?

Natanguliza shukrani.
Ukisikia gas guzzlers ndiyo magari hayo, 3,700 cc petrol kwa maoni ya haraka tu naona kama hiyo ni cylinders 8. Ulizia kwa mtu mwenye gari V8 ya petroli utapata jibu.

Ila usije kulalamika kuwa umepata nyongeza ndogo ya mshahara!
 
Umelikuta la bei rahisi ukavutiwa nalo au? Maana si kawaida kutaka kumiliki hii gari huku ukifikiria mafuta. Kama ni jipya nadhani utaenda 8km na 10 highway. Kama ni used limeshakula makm na mipiston imeenda age km 3 au 2.7 kwa litre. Kama lilitunzwa vizuri ila limekula makm basi 5km per litre.
 
Yaani mtu ukiendesha gari linakupa 5km per L, kama mafuta haupewi na wenye nchi, basi itakuwa kwenye account una 8 - 9 digits
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ. Mara nyingi unakuwa nalo halafu unakababy woker ka mizunguko. Halafu kuna wengine wanakaa umbali wa km 2 au km 1 kutoka kwake mpaka anapofanyia kazi sasa unakuta akiweka full tank kuyamaliza yanakaa. Siku ana mizunguko anachukua kagari kadogo au uber.
 
Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
Amka usingizini hamnaga jeep used inakula mafuta kidogo kiasi hicho labda. Uwe umeifunga vvti ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au fuel injector ya pikipiki
 
Kuna moja nilitaka kununua used nkamuuliza mwenye nalo linaenda km ngapi akaniambia km 5 highway nikajua tu hili na haya mafoleni ni km 2. Nikaghairi.
 
Jeep 3.7L ile kilometre 9/L ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ is so
hilaroius! Usithubutu kununua gari ya 25OOcc au zaidi mkononi kama hulijui vizuri
 
Back
Top Bottom