Msaada: Consumption ya Jeep Cherokee. 3,700 CC

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
615
421
Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?

Natanguliza shukrani.

Polish_20220701_155047607.jpg
 

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
2,260
3,924
Mkuu maswali haya unauliza haf unataka kumiliki gari ya kibabe wakati uwezo wako vits.itakutesa tu bora nunua honda crossroad inafanan nahiyo jeep
 

kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
7,093
7,683
Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?

Natanguliza shukrani.

View attachment 2288777
Mzee wewe chukua kitu hicho,kama roho yako inapenda na kuifurahia,mafuta yakiisha unaipaki,yakiwepo unakula nayo maisha town.

Huku duniani ukiwa muoga na kusikiliza sana watu hautakaa umiliki vitu vizuri maisha yako yote,utashangaa wote tunabanana na ist na paso tu 🤣,jitofautishe.

Wabongo tutaogopa mpk lini kisa mafuta?😆

Siku mafuta yakikuishia unaipaki,yakiwepo toka nayo kula maisha,acha wajinga wajinga waendelee kuogopa,wkt kula haya maisha hayawasubiri 🤣🤣
 

fredyjohn

JF-Expert Member
Jun 29, 2018
212
556
Mzee wewe chukua kitu hicho,kama roho yako inapenda na kuifurahia,mafuta yakiisha unaipaki,yakiwepo unakula nayo maisha town.

Huku duniani ukiwa muoga na kusikiliza sana watu hautakaa umiliki vitu vizuri maisha yako yote,utashangaa wote tunabanana na ist na paso tu ,jitofautishe.

Wabongo tutaogopa mpk lini kisa mafuta?
Unapoanza mwenzio mkuu kwa ufupi tu hilo ni zaidi ya Jini Mkata upepo
 

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,013
1,819
Fuel Consumption - Economy - Open road:11.8 L/100 Km

Fuel Consumption - Economy - Combined:14.6 L/100 Km

Fuel Consumption - Economy - City:19.5 L/100 Km

Jaribu sasa ku-convert kwa 1km inakulaje
Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom