Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 382
mkuu asante sana.. kuna button ya f12 naona ina alama ya kama mnara halafu inawaka kataa keupe!Itakukuwa kuna batani umeibonyeza kuzima wifi....angalia vizuri batani zote hasa za pembeni...
Kwnye keyboards hapo kuna button ya WI-FI utaona kimnara jaribu kuiwasha ikigoma fanya hvihabari za mida hii wakuu?
natumia laptop aina ya HP, hii laptop ilikuwa inashika Wi-fi kutoka kwenye simu yoyote au mahali popote penye wireless inanipa notifications na natumia bila shida kama kuna access.
lakini ajabu sasa wireless hazifanyi kazi mpaka nitumie USB kwenye simu..
kwa kweli shida za moderm nilikuwa nimemalizana nazo..
sasa nashindwa kuelewa tatizo liko wapi..
naombeni msaada wenu wakuu..
Hata mimi natumia HP nina tatizo kama ilo. Lakini yangu Wifi ipo lakini haina nguvu kabisa. Yaani mnara haufiki hata mawe matatu. Cjui tatizo ni nini?Kwnye keyboards hapo kuna button ya WI-FI utaona kimnara jaribu kuiwasha ikigoma fanya hvi
Nenda kwnye my computer
Right click thn fungua sehem imeandikwa manage
Utaona sehem kuna device manager
Fungua hapo uangalie myb driver za wireless zitakuwa disabled
Ndio inawezekana, nakushauri nenda nayo dukani, utapata mtaalam wa kukuchagulia RAM ambayo ni compatible na laptop yako na akakuwekea kabisa.Jaman na yangu lap top ina ram 2 gb naweza weka ikawa 4gb