Msaada: Circuit ya XRF detector

Msaada: Circuit ya XRF detector

Kitandu Nkoru

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
901
Reaction score
985
Ndugu wana jamvi natumaini wote ni wazima Wa afya, niende moja kwa moja kwenye ombi/msaada nina shida ya circuit ya XRF detector ya kudetect madini tofauti tofauti kama kuna mtu anaweza nisaidia mchoro wa hiyo circuit hata madini kama chuma, makaa ya mawe, nickel, dhahabu, almasi,nk. ani pm. Natanguliza shukurani kwenu wakuu.
 
Wakuu lengo ni huo mchoro wa circuit na vifaa nataka na mimi nijaribu kuiunda
 
Back
Top Bottom