Msaada chuo kinachotoa degree ya information technology kwa Mwanza

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Hellow there, natafta chuo kinachotoa Degree ya IT au related field course, kwa mwanza Mwenye kujua anijuze tafadhari
Naomba kuwasilisha
 
Tembelea website ya TCU uangalie vyuo vilivyosajiliwa na kozi zinazofundisha pamoja na sehemu vilivyopo
 
MKUU PALE SAUT HAKUNA KWELI??!!MAANA NI MOJA YA VYUO VIKUBWA MWANZA
 
Back
Top Bottom