mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 350
- 163
Shukurani lakini kitatolewa???peleka kwa fundi
Leta Picha kisho njoo na TV kitoleweShukurani lakini kitatolewa???
Iweke motoni .....Wacha uoga,FUNDI atakulia hela tu kwa kazi ndogo, chukua sindano ndogo iweke Moroni upate moto then ingiza hapo ilipokatikia(coz kile kichuma kati kina plastic) then vuta kinatoka,kazi ya dk 1 tu
Kile kichuma ndo kimebaki ndani kile kiplastic kimetokaWacha uoga,FUNDI atakulia hela tu kwa kazi ndogo, chukua sindano ndogo iweke Moroni upate moto then ingiza hapo ilipokatikia(coz kile kichuma kati kina plastic) then vuta kinatoka,kazi ya dk 1 tu
Sasa mkuu . picha sawa.tv tenaLeta Picha kisho njoo na TV kitolewe
wanawake wengi hata kubadili balbu ni shida,kwahiyo siwezi kukushangaa,hapo mtaani kama kuna kijana mtundu mtundu anakutolea tu sio ishu,Kile kichuma ndo kimebaki ndani kile kiplastic kimetoka
Peleka kwa fundi ataifungua TV na kitatoka kwa urahisi tuUnachomoaje wakati kimekatikia kwa ndani kabisa???
Uyo ni mrsPunguza pressure bro kazi ndogo sana siuchomoe tu
Usiogope Mr Fiance hawezi kukubadilikia!Habari naombeni msaada .ni hivi kuna zile nyaya za kuunga Nisha TV na deki.sasa kuna vile viwaya (kichwa) vinavyochomekwa vinavyoingia kwenye TV kimekatikia ndani ya TV na ni baada ya zile waya kuwekwa vibaya. kinaweza kutolewa kweli? Au ndo siangalii CD videos.
KINAWEZA TOLEWA ASILIMA 10000% LAZIMA TV IFUNGULIWE UNAKISUKUMA TU NA BISIBISI (SCREW DRIVER)Habari naombeni msaada .ni hivi kuna zile nyaya za kuunga Nisha TV na deki.sasa kuna vile viwaya (kichwa) vinavyochomekwa vinavyoingia kwenye TV kimekatikia ndani ya TV na ni baada ya zile waya kuwekwa vibaya. kinaweza kutolewa kweli? Au ndo siangalii CD videos.