MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,732
- 2,713
- Thread starter
- #41
no way out unabid upambane nalo utafanyajeDuuh! kijana mbichiii ila umepatwa na matatizo ya kizee. Tafuta tiba utapona.
no way out unabid upambane nalo utafanyajeDuuh! kijana mbichiii ila umepatwa na matatizo ya kizee. Tafuta tiba utapona.
Hakika, wewe tumia dawa zote za mitishanba na za hospitali pia. Nimepitia baadhi ya nyuzi zako nimeona pia una upungufu wa hormone ya testerone. Pambana upate tiba ya hili tatizo, likiisha utakuwa fresh kabisano way out unabid upambane nalo utafanyaje
ila mepima testerone level zangu 3days ago ploraction iko 21.3ng/ml ,testesterone 7.5 miu/ml ,LH-5.5miu/ml FSH-8.5miu/ml. lakini nilipima jioni manakw wanashauri upime asubuh japo nilikua niko in temper nkaaamua kupima jioni i dont know ziko OK sijajua twitter madaktari japo naona ploractin iko juu sijajua manake normal range ni 2-18Hakika, wewe tumia dawa zote za mitishanba na za hospitali pia. Nimepitia baadhi ya nyuzi zako nimeona pia unaupungufu wa hormone ya Testesterone. Pambana upate tiba ya hili tatizo, likiisha utakuwa fresh kabisa
thanks homies.Pole sana
mkuu tende na maziw znasaidia niniJitahidi uwe unafanya jogging ama ni asubuhi ama jioni.Sema nikushauri kitu usiache kula tende na maziwa narudia Tena usiache kula tende na maziwa.Halafu jitahidi kula matunda sana.Bro utakuja nishukuru..
inshallah.mkuu tende na maziw znasaidia nini
Good parfomancemkuu tende na maziw znasaidia nini
hongera and thanks for your reoly. Mr mishipa.Mm Nina changamoto uume wangu ukisimama mishipa ya kichwa Cha uume wangu unaumwa mbaya maana mishipa Ina kaka maaa daah cielewiiii
Hongera ya nini mkuuhongera and thanks for your reoly. Mr mishipa.
Herbalist Dr MziziMkavu pitia hapa tafadhali...Mm Nina changamoto uume wangu ukisimama mishipa ya kichwa Cha uume wangu unaumwa mbaya maana mishipa Ina kaka maaa daah cielewiiii
cpigi nyeto wala kuangalia Xxxx mie mtu kizagamua tu X nshapita huko.Dawa hii tumia ndani ya wiki 3 kisha utupe mrejesho.
Dawa ya 1- tangawizi na kitunguu swaumu punje8, chukua tangawizi moja na punje nane au zaidi za kitunguu swaumu, kisha zitwange katika chombo mpaka vilainike.
weka maji kiasi Kama glasi 3 hakikisha iwe kali,chemsha utakuwa unakunywa kutwa mara3, glass moja.
Ikiisha tengeneza Tena, usifanye tendo la ndoa ndani ya muda wa dawa.acha kutazama x, usipige nyeto.
Nitatoa dawa nyingine MAJIYAPWANI, MAJIYAPWANI,
Basi hii dawa itakufaa sana, inaenda kurudisha utimamu wa mwili. Nitakupa baadhi ya tips baadaecpigi nyeto wala kuangalia Xxxx mie mtu kizagamua tu X nshapita huko.
inaposimama kila asubuhi inakukumbusha kwamba kila asubuhi inatakiwa uamke kufanya kazip***s