Msaada: Changamoto ya kusimamisha uume asubuhi

Jitahidi uwe unafanya jogging ama ni asubuhi ama jioni.Sema nikushauri kitu usiache kula tende na maziwa narudia Tena usiache kula tende na maziwa.Halafu jitahidi kula matunda sana.Bro utakuja nishukuru..
 
hizo ndo diet zangu kila cku mwezi wa 2 brother
 
Jitahidi uwe unafanya jogging ama ni asubuhi ama jioni.Sema nikushauri kitu usiache kula tende na maziwa narudia Tena usiache kula tende na maziwa.Halafu jitahidi kula matunda sana.Bro utakuja nishukuru..
mazoez ciachi toka hii hali inianze tizi km kw sema huwa nachoka sana miguu inaanza shika ganzi hv kuna mda inategemwa na siku lakini and before siku hvyo ila sikati tamaa mazoezi kwa wiki mepunguza sa hv nafanya mara 3 manake nilikua nafanya 5 times per week from monday to friday c kawaida km nilivyokua,mwanzo nilikua,OK on everthing mibususi naichakata safi kabisa. bila shida ila since last year october 24 everthing falls apart..
 
Tuliza Akili wasiliana na huyo MTU ambaye pia atakuunganisha na madaktari wataalamu wa hiyo mambo na naamini tatizo lako litakwiasha amini Hivyo! Kikubwa uwe mkweli n muwazi na uwe tayari kukabiliana na hiyo changamoto kwa maana ya kurespond kwenye matibabu either physically and psychologically. Amini hakuna hali inayodumu milele
 
Sawa i take this in high priority.
 
nadhani hiyo depression ndio imesababisha cha muhimu tuliza akili mambo yatakaa sawa tu na mazoezi pia usisahau
 
Shukrani aisee na mie napambana nayo kibishi bishi nije nkae sawa thanks kwa ushauri wako wakunipa nguvu
 
Hiyo Ginseng huwa ni kama Viagra ila yenyewe ni kiwango cha MGR.

Husaidia kwenye udindishaji ila siyo kivile ni kama zilivyo vitamin B supplements zingine.
sijakuelewa It seems am in depression mode sasa hv. kuhusu vitamin B and morning sijaelewa.
 
Back
Top Bottom