Msaada: Changamoto ya kusimamisha uume asubuhi

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,732
Reaction score
2,713
Habari wapendwa kama mada hapo juu inavyosema nina shida ya kupata morning wood(kusimama) asubuhi au naweza simama kwa tabu sana.

Nakumbuka last year nilileta mada hapa kukosa hamu 6×6 km mtaikumbuka. Basi toka mwaka uanze morning woods mekua napata kwa tabu hata nkipata sio ile chuma chuma je (ni upungufu wa homoni), mawazo au anxiety pia hata nkiwa 6×6 kuna mda naenda nganganga kuna mda ngoma inazimika sana inachukua mda au ndo ntolee.

Nimepitia depression kali since last year mpka now this kidgo meanza kukaa sawa ndo mekua mtu ON and OFF sometimes nkikaa alone Chuma inasimama safie kuna mda inaweza kaa siku ikasimama kidgo sana afu asubuh inasimama inaweza isimama kabisaa, ila nina vitu huwa vina karahisha mda mwingine miguu inapata bardi au kufa ganzi asubuh sio kila siku lakini pia hata intercourse yangu imekua ya zimamoto sana sometimes nina vibe sometimes vibe sina.

Kwa wiki hua nafinya mara 2 au 3 ina tegemea ila kuna vitu vinanitokea loss of muscles, fatigue, low energy mda mwingine, concentration inapungua sana sio kazin tu hata nkiwa na my wangu I dont know ndo anxiety kuna mda, mpka, napanic nawaza, vingi cjui ndo cna nguvu but no porn no masturbation ila nina pungua, weight na, nakosa, nguvu miguu pia, inachoka nkifanya, mazoezi nimetumia supplement ginseng, ginko biloba, may be, zipunguze anxiety atleast

Naomba shauri wenu maana sielewi.
 
Hyo ni anxiety ama depression mzee..
Naweza kukusaidia kupona depression pamoja na anxiety kwa gharama ndogo mkuu.
 
Check me via @Meditation30@protonmail.com
 
Hospital umeenda mkuu? Kuna watu wamesomea haya mambo....
sijaenda ila last time nilipima thyroid nakumbuka nkawa sina
nkapima pia biochemistry everthing is Ok chorestrerol iko poa. ilibaki nipime mavitu mengine sema bima ika Expire
Pia hayo mavipimo tu was too expensive.
 
sijaenda ila last time nilipima thyroid nakumbuka nkawa sina
nkapima pia biochemistry everthing is Ok chorestrerol iko poa. ilibaki nipime mavitu mengine sema bima ika Expire
Kuna specialists wanauzoefu na haya mambo nenda tu kaka, huwezi jua suluhisho lilipo. Miaka 29 naona bado kijana kabisa haya mambo yanatibika ila ndo uwahi
 
Back
Top Bottom