Tumeenda hospital ila hajapewa dawa dokta amesema ale vyakula lain na visivyokobolewa ilaAcha ufala!..., onana na mtaalam... sasa humu unafkiri utapata solution ?!
Keshachapwa sana tu ila Sasa ndio anaumwaChapa bakora
Kama uko sirious dawa ninayo ni kiboko ndan ya week tu unapona njoo uonw shuuda 0712505049Nina mdogo wangu ambae Ni mwanafunzi. Miezi michache iliyopita alijiovadozi(alikunywa vile vidonge vya majira vile vyekundu alitumia kimoja kutwa mara 3, kwasababu alijihisi ana mimba akaenda duka la dawa baridi ndio akapewa hizo ili atoe). Sasa anasumbuka na bawasiri na pia anadai tumbo linamuuma
Je zile ddawa ndiyo chanzo?
Tumeenda hospital ila hajapewa chochote ila ameelekezwa ale vyakula vya nyuzinyuzi tu.
Pole sna mkuu mm mke wng alipona kwa dawa ya 30,000 tuu kuna dawa nilinunua pale msikiti wa vetenari teneke 0754212553 uyu jamaa anadawa nzur sna unafuu unapata baada ya siku tatu matokeo utayaonaNina mdogo wangu ambae Ni mwanafunzi. Miezi michache iliyopita alijiovadozi(alikunywa vile vidonge vya majira vile vyekundu alitumia kimoja kutwa mara 3, kwasababu alijihisi ana mimba akaenda duka la dawa baridi ndio akapewa hizo ili atoe). Sasa anasumbuka na bawasiri na pia anadai tumbo linamuuma
Je zile ddawa ndiyo chanzo?
Tumeenda hospital ila hajapewa chochote ila ameelekezwa ale vyakula vya nyuzinyuzi tu.
Nicheki 0712505049Nina mdogo wangu ambae Ni mwanafunzi. Miezi michache iliyopita alijiovadozi(alikunywa vile vidonge vya majira vile vyekundu alitumia kimoja kutwa mara 3, kwasababu alijihisi ana mimba akaenda duka la dawa baridi ndio akapewa hizo ili atoe). Sasa anasumbuka na bawasiri na pia anadai tumbo linamuuma
Je zile ddawa ndiyo chanzo?
Tumeenda hospital ila hajapewa chochote ila ameelekezwa ale vyakula vya nyuzinyuzi tu.