Inkotanyi 94
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,244
- 4,030
Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo
Umtajie na bei kabisa..asijekwenda na bei zake za kariakoo shimoniWoolworths Mlimani City Posta, Kawe na Msasani
Kuanzia 115,000-126,000 kwa cadet mojaUmtajie na bei kabisa..asijekwenda na bei zake za kariakoo shimoni
Anataka awe anavalia gumboots21" chini au?..hili mbona ni gunia ya kusagia unga?..
Kupata hizo inatakiwa labda za mitumba,vinginevyo vaa tu mlegezo na suruali yako ya kubana chini,hiyo ndio habari ya mujini sasa hivi...Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo
hahahahaha21" chini au?..hili mbona ni gunia ya kusagia unga?..



Mimi nanunua za mtumba alafu naenda kuounguza kwa fundiKwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo
Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo
21 unaijua ama unaisikia? Ama ni gauni unataka mkuu?Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo



yan hata sielewi. uzur wa mitindo huwa inajirudia. ipo siku watarud huku kwetu zilizonyooka chini. mbaya zaid hizi modo zinalazimisha mlegezo. hata kuwalaum wanaume wanaovaa boxer na mstari wa matako ukawa nje unashindwa kuwalaum. kuna wateja tumebaguliwa!Ndugu yangu kizazi kipya kimebadili mawazo ya manufacturers kwa kweli, pengine wao ndo wengi. Suruali ziko kama tubes, hazifai...