msaada bundles za voda

emike

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
345
108
wana jf heshima zenu, kwa kama siku tatu hivi nimeshidwa kununua bundles za voda hasa ile ya day100mb,kila nikiomba kwa kupitia *149*01# au sms kwenda 15300 jibu ninalopata ni service is not available try late je hii ni kwangu tu au ni kwa wote!!!! Au kuna mabadiliko yoyote naomba mnijuze!!!
 
Hamia Airtel kanunue ile Bundle ya 400Mb kwa 2,500/= ni mwezi au km unataka kusurf na kuDownload piga hiyohiyo ya Voda lakini ya B/B haina usumbufu ni 6,000/= kwa wiki
 
Dah... Hii ya 100MB Nimejiunga mara mbili, na nimeikubali.... Iko high speed noma. Ila nitanunua na airtel nione
 
wana jf heshima zenu, kwa kama siku tatu hivi nimeshidwa kununua bundles za voda hasa ile ya day100mb,kila nikiomba kwa kupitia *149*01# au sms kwenda 15300 jibu ninalopata ni service is not available try late je hii ni kwangu tu au ni kwa wote!!!! Au kuna mabadiliko yoyote naomba mnijuze!!!

wamehamishia kwenye menu yao ya kununua bundle na vifurushi vya msg
 
Back
Top Bottom