Msaada:BUILDING ECONOMICS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:BUILDING ECONOMICS

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by brian360, Apr 30, 2012.

 1. b

  brian360 JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jamani hii course inalipa? Na pia inatolewa ARDHI PEKEE?
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  kijana, usiangalie kwamba course flani inalipa ama la, angalia moyo wako unataka na unapenda nini,, ukishajua, then kifanyie kazi uwe mtaalam mzuri katika hicho ukipendacho, then, utaweza kuperform na hence success will chase u itself,,, wala usidharau kwamba course flani hailipi ama inalipa ndugu yangu,,, wengi wanadharau baadhi ya course e.g ualimi labda, but i know more than 4 teachers marafiki zangu, big millionairs!!,,, me-engineer nao kipindi flani wakawa wanadharaulika sana, cjui mishahara midogo, cjui nini!! Lakini angalia leo hii, maengineer successsful wapo wengi sana,, soo al in all follow ur heart, EVERYTHING pays!!!
   
 3. b

  brian360 JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ahsante kaka kwa ushauri but Nauliza hvi coz napenda kuxoma economics lkn nimecikia faculty zipo nyng katika secta hyo xaxa lazima nifanye best Choice nisije nikaingia CHAKA!
   
Loading...