box zinatofautiana kutokana na manufacture/chipset iliotumika.
mfano kuna box za exynos (samsung), kuna box za mediatek(Tecno, itel na baadhi ya huawei) box za S40 nk hivyo jiangalie eneo lako na wateja wako wapo vipi.
Ingia hapa ukapate elimu ya bure bila darasa.Mobile Phone Repairing Tutorial & Guide : Mobile Cell Phone Repairing
Mkuu, kasome VETA ili upate ujuzi wa hiyo kazi unayotamani, ukianza bila ujuzi wowote utaishia kuwaharibia watu simu na kuwaibia pesa zao, maana kama huna ujuzi, utakuwa unafungua simu na kuifunga bila kurekebisha kitu.
cheki piranha au volcanoNimekusoma Chief-Mkwawa me nafikiri hizi box za mediatek zingenifaa zaidi.. Na naweza nikapata nikapata aina moja ambayo linaweza solve simu nyingi hizi za kichina.
Mambo vip chief naomba unisaidie kaka simu yangu phatom Z iliingia kwenye maji. nikaikausha kwa jua baada ya hapo nikaichaji ikaingiza chaji then ikawaka inawaka yenyewe mpaka kwenye lile neno Tecno then inazima. nikawa nimeiacha ikaisha chaji ikazima sasa nikiweka kwenye chaji haionyeshi kama inaingia chaji, na haiwakai kabisa. na hizi hazifai kutoa betri ili ifae hata kuiboostbox zinatofautiana kutokana na manufacture/chipset iliotumika.
mfano kuna box za exynos (samsung), kuna box za mediatek(Tecno, itel na baadhi ya huawei) box za S40 nk hivyo jiangalie eneo lako na wateja wako wapo vipi.
pengine motherboard imeharibika au ni software tu imecorupt, jaribu kuiflashMambo vip chief naomba unisaidie kaka simu yangu phatom Z iliingia kwenye maji. nikaikausha kwa jua baada ya hapo nikaichaji ikaingiza chaji then ikawaka inawaka yenyewe mpaka kwenye lile neno Tecno then inazima. nikawa nimeiacha ikaisha chaji ikazima sasa nikiweka kwenye chaji haionyeshi kama inaingia chaji, na haiwakai kabisa. na hizi hazifai kutoa betri ili ifae hata kuiboost
mkuu chief mkwawa mi natumia Samsung grand prime na napendaga sana sim inayodisplay operator names kwenye left corner kwenye notification bar kwa kufuatana moja juu ya nyingine kama Airtelpengine motherboard imeharibika au ni software tu imecorupt, jaribu kuiflash