msaada.. Boom ya airtel. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada.. Boom ya airtel.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Aaron, Jun 13, 2012.

 1. A

  Aaron JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,120
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  wana jf.
  Boom Ni huduma ya airtel.. Ambayo unalipia shilingi mia tano tsh500.. Unauganishwa na free call kwa namba moja kwa wiki nzima bila kulipia chochote.. Kuna rafiki angu aliunganishwa na huwa ananipia hata masaa 4.. Ila nikimuuliza jinsi ya kujiunga anasema hakuambia.. Plz anae fahamu huduma hii atujuze.
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,114
  Trophy Points: 280
  Kama hajamuunganishia mtu yeyote toka katika namba yake, mwambie aandike Sms yenye nenoEN ikifuatiwa na namba ya anayetaka kumuunganisha.
  Then anatuma kwenda namba 15766
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 3. A

  Aaron JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,120
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  aksante.. Mkuu ngoja nijaribu
   
 4. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ni sim card special zinatolewe na airtel shop au vibanda vyao hii ni huduma kwajili ya wanafunzi wa vyuoni tu..
   
Loading...