Msaada: Bomoa bomoa Ilala kupisha reli

yani umelipenda hilo likandemba?hahaaaa nakuapia hapo lilipo halijavaa chupi
Yaaacheni hayo Sweets ,, vipi Krisimas najua hatutoweza kujumuika pamoja ila mie na rafiki yang tulipenda sana kula ,kunywa nakucheza pamoji nanyi ,, Can we?.
 
basi sawa ila huyo ameniboa hajui sisi wasukuma ndio tunaongoza dola?
Kawaida bana just myachukulie simple !!! ...yaaah President ni Msukuma ,,Wa majeshi ni msukuma ,nawewe nimsukuma ,kwakweli wasukuma ni Wakarimu sana !! BTW ,, Hii move ya Titanic Umeshaona Part 2 yake ???? Ya ukweli sanaaaa[emoji8] [emoji8]
 
hapo mkuu nimeamini wewe ni mtu mzuri sana yani mstaraabu sawa nakubali na kuheshimu mawazo yako na pia namuomba msamaha mgoni wangu dennis kwa yote yaliotokea
 
Uliona wapi msukuma mweupe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
pole dennis nyanda unisamehege mayuuuu.
 
hapo mkuu nimeamini wewe ni mtu mzuri sana yani mstaraabu sawa nakubali na kuheshimu mawazo yako na pia namuomba msamaha mgoni wangu dennis kwa yote yaliotokea
Ewaaaa safi sana ,kunywa maji kidogo ya baridi ,, jiandae nakuja na najua nmechelewa ila chakula chausiku naitaji tule pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…