Wakuu niko kwenye NGO ya kuwawezesha watoto (
YOSSO) na nahitaji kuiboresha design ya hii blog yetu iwe na muenekano kama wa blog hii (
KILI CHILD EMPOWERING FOUNDATION (Kicef.)). Yaani iwe na pages za home, our projects, about us, contact us na kadhalika. Msaada tafadhali na mathanks kibao natanguliza!