Msaada: blog/site yangu imekuwa suspended

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Habarini waungwana wadau wa JF hasa jukwaa hili
Mwenzenu blog/site yangu haiko hewan kwa ghafla tu na sijui tatizo ni nini, nikifungua inaniambia account suspended
hapo mwanzo nilikuwa na adsense na zilikuwa zinadisplay kwenye site lakini baadae zikapotea tu, nilipofuatilia inaonekana google walizitoa kwa sababu ya unsupported language
sasa nilikuwa nataka kurekebisha lugha kwenye site afu ni-appeal, kabla sijaafanya hivyo naona ndio limetokea tatizo hili la account suspended,
Naomba msaada wenu wadau
Asanteni sana
 
Unatumia paid hosting? If yes waulize inawezekana umechelewa kulipa
 
Habarini waungwana wadau wa JF hasa jukwaa hili
Mwenzenu blog/site yangu haiko hewan kwa ghafla tu na sijui tatizo ni nini, nikifungua inaniambia account suspended
hapo mwanzo nilikuwa na adsense na zilikuwa zinadisplay kwenye site lakini baadae zikapotea tu, nilipofuatilia inaonekana google walizitoa kwa sababu ya unsupported language
sasa nilikuwa nataka kurekebisha lugha kwenye site afu ni-appeal, kabla sijaafanya hivyo naona ndio limetokea tatizo hili la account suspended,
Naomba msaada wenu wadau
Asanteni sana

Ni blogspot?

Blogspot na adsense zote ni za google hivyo ukifanya kosa moja Ni kawaida wakakuban sehemu zote mbili
 
Back
Top Bottom